RASMI: Massanza ni Msemaji wa Singida Black Stars

Mkuu, mi nina mambo mawili:

(2) Katika ofisi yako, ebu wekeza zaidi katika vitengo vya social media, kuanzia YouTube, Meta Platforms etc, kuwe na watu active, creative na best graphics/media.

(1) Hii si ndio iHefu au mi namix?


Otherwise, kila lakheri mkuu.
 
Kila la kheri Masanza kijana muungwana Sana [emoji106]
 

Oya semaji hongera, check inbox.
 
Niliwahi kukuuliza swali kama unampango wa kuhamia Black stars (ihefu) ukasema hauba


Ngoja niutafute ule uzi wangu nikukumbushe
Halafu nakumbuka na mimi nilimuambia amekimbia njaa tu Singida Fountain Gate! Hakuna kingine.

Boss wake Lameck kila siku anabadilisha tu majina ya timu yake. Sijui kuna biashara gani anaifanya nyuma ya pazia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…