Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kanjibai anapigwa na wahuniKuna mambo yanafurahisha sana! Huyu mchezaji hana sifa ya kusajiliwa kwa hilo dau la Tsh. milioni 100.
... halafu wanaoumia ni waswahili. Kanjibai ana 3.6T ujueKanjibai anapigwa na wahuni
Dah! Hii ni hatari!
Au anawadanganya maboya kama alivyowadanganya kwenye ile Bilioni 20.Kanjibai anapigwa na wahuni
Kwa mfano makadirio halisi we unaona uyu kiungo fundi wa mafundi anaweza kuwa shilingi ngapi?Kuna mambo yanafurahisha sana! Huyu mchezaji hana sifa ya kusajiliwa kwa hilo dau la Tsh. milioni 100.
Fundi wa mafundi ndy aanzie carrier yake coastal kutoka Nigeria?? Wewe utakuwa mbumbumbu wa kiwango cha PhD hahahaaaaKwa mfano makadirio halisi we unaona uyu kiungo fundi wa mafundi anaweza kuwa shilingi ngapi?
sio mby milion 50 kwa mwaka,hofu yangu inaonekana klabu imepunguza bajeti ktk usajili ,ama hataki kupambania saini sokoniKuna mambo yanafurahisha sana! Huyu mchezaji hana sifa ya kusajiliwa kwa hilo dau la Tsh. milioni 100.
labda alipelekwa apate nafasi aonekane ,km hv kaonekana kasainiFundi wa mafundi ndy aanzie carrier yake coastal kutoka Nigeria?? Wewe utakuwa mbumbumbu wa kiwango cha PhD hahahaaaa
Hiyu mwanzo kabla hajasajiliwa na mangush alikuja simba kufanya majaribioFundi wa mafundi ndy aanzie carrier yake coastal kutoka Nigeria?? Wewe utakuwa mbumbumbu wa kiwango cha PhD hahahaaaa
Utopolo unakariri maisha. Mafundi kibao tu wameanzia klabu za kati kwenye ligi za kigeni lakini sasa hivi wapo klabu kubwa.Fundi wa mafundi ndy aanzie carrier yake coastal kutoka Nigeria?? Wewe utakuwa mbumbumbu wa kiwango cha PhD hahahaaaa
Huyu kiungo hana thamani ya milioni 100! Kwangu mimi namuona ni mchezaji wa kawaida tu.Kwa mfano makadirio halisi we unaona uyu kiungo fundi wa mafundi anaweza kuwa shilingi ngapi?
kila kitu kinaachia chini kama hulijui hela we nyani wa jangwaniFundi wa mafundi ndy aanzie carrier yake coastal kutoka Nigeria?? Wewe utakuwa mbumbumbu wa kiwango cha PhD hahahaaaa
manyani mnaumiaHivi kwa usajili hizi za ndondo kapu kweli Makolo FC watawaweza wananchi?
au Mikia wanaandaa excuses za kupoteza tena ubingwa next season?
Hatutaki lawama tutakapokuwa tukiwapasua!
Simba mbona imefilisika mapema?
Eti nasikia Onyango na Inonga wamesaini Singida Big Stars?
Kwamba Kanjibai alijikopesha toka mfuko A akahamishia mfuko B "B 20" bila ya ushahidi wowote wa kimaandishi na MAKOLO walimuamini [emoji848][emoji28]Au anawadanganya maboya kama alivyowadanganya kwenye ile Bilioni 20.
Dah!...Kuna mambo yanafurahisha sana! Huyu mchezaji hana sifa ya kusajiliwa kwa hilo dau la Tsh. milioni 100.