Rasmi; Mnigeria Victor Akpan atua Simba S. C

Rasmi; Mnigeria Victor Akpan atua Simba S. C

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Posts
29,775
Reaction score
29,746
Screenshot_20220618-173954~2.png
 
Fundi wa mafundi ndy aanzie carrier yake coastal kutoka Nigeria?? Wewe utakuwa mbumbumbu wa kiwango cha PhD hahahaaaa
Utopolo unakariri maisha. Mafundi kibao tu wameanzia klabu za kati kwenye ligi za kigeni lakini sasa hivi wapo klabu kubwa.
 
Kwa mfano makadirio halisi we unaona uyu kiungo fundi wa mafundi anaweza kuwa shilingi ngapi?
Huyu kiungo hana thamani ya milioni 100! Kwangu mimi namuona ni mchezaji wa kawaida tu.

Kwa mtazamo wangu, mlitakiwa kutumia kiasi kisichozidi milioni 50 kwa huyu mchezaji! Ila siyo milioni 100 aisee!
 
Hivi kwa usajili hizi za ndondo kapu kweli Makolo FC watawaweza wananchi?

au Mikia wanaandaa excuses za kupoteza tena ubingwa next season?
Hatutaki lawama tutakapokuwa tukiwapasua!

Simba mbona kama naona imefilisika na kupoteana mapema?

Eti nasikia Onyango na Inonga wameshuka viwango na wamesaini Singida Big Stars?
 
Hivi kwa usajili hizi za ndondo kapu kweli Makolo FC watawaweza wananchi?

au Mikia wanaandaa excuses za kupoteza tena ubingwa next season?
Hatutaki lawama tutakapokuwa tukiwapasua!
Simba mbona imefilisika mapema?
Eti nasikia Onyango na Inonga wamesaini Singida Big Stars?
manyani mnaumia
 
Back
Top Bottom