Rasmi: Mnyama Simba kucheza CAF Super cup Agosti, 2023

Rasmi: Mnyama Simba kucheza CAF Super cup Agosti, 2023

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
8743e4d127ee439c92788815b42153a3_329046896_842628706831939_3511837576083591558_n.jpg
 
Masikitiko fc watakuja kuponda hapa.

Wanadhani Simba mwaka jana kuvaa Visit Tanzania hawakuwa wanataka pesa za udhamini.

Hongera Simba kuwa Timu ya kwanza Tanzania kucheza Super League ya CAF
 
Mbona hii taarifa mbona kwenye Tovuti ya CAF ONLINE haipo??
 
Kwenye taarifa kila mtu ana source yake ya kupata habari, ila kwangu hiyo sport Areatz nimeshaitoa kwenye list ya vyanzo vya kuaminika hasa kipindi cha usajili alishaweka taarifa cha wachezaji kuwa confirmed wameshasajiliwa lakini hakuna kitu mwishoni. Simba kucheza super league ni kitu kinachowezekana ila kwasasa bado timu haziwekwa wazi zitakazoshiriki.

Ligi inatarajiwa kuanza mwezi wa nane mwaka huu na kuisha mwezi wa tano mwakani.
 
Just relax pia kunywa maji mengi itakusaidia
Kwenye taarifa kila mtu ana source yake ya kupata habari, ila kwangu hiyo sport Areatz nimeshaitoa kwenye list ya vyanzo vya kuaminika hasa kipindi cha usajili alishaweka taarifa cha wachezaji kuwa confirmed wameshasajiliwa lakini hakuna kitu mwishoni. Simba kucheza super league ni kitu kinachowezekana ila kwasasa bado timu haziwekwa wazi zitakazoshiriki.

Ligi inatarajiwa kuanza mwezi wa nane mwaka huu na kuisha mwezi wa tano mwakani.
 
Hii taarifa inapitwa kama vile haionekani taarifa korofi sana hii!
 
Kumbe Hamkuitwa mbumbumbu Kwa bahati mbaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Aden Rage aliona mbali sana.
 
Iyo taarifa mnayo nyie peke yenu na kiblog uchwara icho cha mbumbumbu fc, ingekuwa ivyo si tungeona taarifa kwenye kurasa rasmi za caf, chanzo chenyewe cha taarifa ndo icho cha sport Arena?
Kwani timu yako ya utopolo itashiriki kwanza mpaka ufuatilie yasiyokuhusu?
 
Simba Sports Club
Nguvu Moja

ONE Team, One Dream

Simba Italibeba Taifa Bila Shaka Itafanya Vizuri
 
Back
Top Bottom