OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kabisa. Namkubali sana yule mremboAliyemleta Barbra simba Mbinguni moja kwa moja.
aNa asilimia kubwa ya Credits kwenye Hili.
Kaa kwa kutulia ulienda kuangalia wewe kama nani?Mbona hii taarifa mbona kwenye Tovuti ya CAF ONLINE haipo??
Kwenye taarifa kila mtu ana source yake ya kupata habari, ila kwangu hiyo sport Areatz nimeshaitoa kwenye list ya vyanzo vya kuaminika hasa kipindi cha usajili alishaweka taarifa cha wachezaji kuwa confirmed wameshasajiliwa lakini hakuna kitu mwishoni. Simba kucheza super league ni kitu kinachowezekana ila kwasasa bado timu haziwekwa wazi zitakazoshiriki.
Ligi inatarajiwa kuanza mwezi wa nane mwaka huu na kuisha mwezi wa tano mwakani.
FAKE NEWZ.......Hii taarifa inapitwa kama vile haionekani taarifa korofi sana hii!
Iyo taarifa mnayo nyie peke yenu na kiblog uchwara icho cha mbumbumbu fc, ingekuwa ivyo si tungeona taarifa kwenye kurasa rasmi za caf, chanzo chenyewe cha taarifa ndo icho cha sport Arena?
Kwani timu yako ya utopolo itashiriki kwanza mpaka ufuatilie yasiyokuhusu?Iyo taarifa mnayo nyie peke yenu na kiblog uchwara icho cha mbumbumbu fc, ingekuwa ivyo si tungeona taarifa kwenye kurasa rasmi za caf, chanzo chenyewe cha taarifa ndo icho cha sport Arena?
Mimi siiamini iko chanzo , , ila ninachoamini ni kwamba ayo mashindano kama yatafanyika kweli simba hawezi kukosaJust relax pia kunywa maji mengi itakusaidia