NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
Historia hiyo wakwanza kimataifa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Historia hiyo wakwanza kimataifa.
Mbumbumbu akili ni kisoda, nilipoona chanzo tu nikajua ni 🚮🚮🚮 Amjui ata vigezo vinavyotakiwa ili timu ishiriki iyo michuano mmebaki kujitekenya na kucheka wenyeweKwani timu yako ya utopolo itashiriki kwanza mpaka ufuatilie yasiyokuhusu?
Weka ushahidi hapa kutoka caf kuwa imechaguliwa kucheza iyo michuano otherwise ni kufurahisha genge tututawadhibitishia CAF kuwa Hawajakosea
Ww mzee bwana hahahahhNdio wafanye Usajili wa MAANA WASIJE WAKATUAIBISHA.
Nasikia Fedha ya maandalizi Bilioni 4.
Hawa akina.
Sawadogo.
Kanute.
Occra.
Ottara.
Banda.
HAWA NI MIZIGO HAWAFAI SUPER CUP.
KWanini unapanick kama ni kufurahisha genge?? Si uache kukoment makasirikoo kila mahaliWeka ushahidi hapa kutoka caf kuwa imechaguliwa kucheza iyo michuano otherwise ni kufurahisha genge tu
hawajui kuongea bila matusi, usiwajibu sana hao ndugu zetu wanamatusi balaa.KWanini unapanick kama ni kufurahisha genge?? Si uache kukoment makasirikoo kila mahali
Kumbe ni mkeo huyo?Bila kumtaja basha wako hujisikii raha kabisa.... Umenawa?
Lete ushahidi wa hii taarifa kutoka cafNdio wafanye Usajili wa MAANA WASIJE WAKATUAIBISHA.
Nasikia Fedha ya maandalizi Bilioni 4.
Hawa akina.
Sawadogo.
Kanute.
Occra.
Ottara.
Banda.
HAWA NI MIZIGO HAWAFAI SUPER CUP.
Anajipendekeza sana kwangu....but mimi sipendi kumtumia hivyoKumbe ni mkeo huyo?