Rasmi: Mnyama Simba kucheza CAF Super cup Agosti, 2023

Rasmi: Mnyama Simba kucheza CAF Super cup Agosti, 2023

Kwani timu yako ya utopolo itashiriki kwanza mpaka ufuatilie yasiyokuhusu?
Mbumbumbu akili ni kisoda, nilipoona chanzo tu nikajua ni 🚮🚮🚮 Amjui ata vigezo vinavyotakiwa ili timu ishiriki iyo michuano mmebaki kujitekenya na kucheka wenyewe
 
Ndio wafanye Usajili wa MAANA WASIJE WAKATUAIBISHA.
Nasikia Fedha ya maandalizi Bilioni 4.

Hawa akina.
Sawadogo.
Kanute.
Occra.
Ottara.
Banda.

HAWA NI MIZIGO HAWAFAI SUPER CUP.
 
Ndio wafanye Usajili wa MAANA WASIJE WAKATUAIBISHA.
Nasikia Fedha ya maandalizi Bilioni 4.

Hawa akina.
Sawadogo.
Kanute.
Occra.
Ottara.
Banda.

HAWA NI MIZIGO HAWAFAI SUPER CUP.
Ww mzee bwana hahahahh
 
Weka ushahidi hapa kutoka caf kuwa imechaguliwa kucheza iyo michuano otherwise ni kufurahisha genge tu
KWanini unapanick kama ni kufurahisha genge?? Si uache kukoment makasirikoo kila mahali
 
Ndio wafanye Usajili wa MAANA WASIJE WAKATUAIBISHA.
Nasikia Fedha ya maandalizi Bilioni 4.

Hawa akina.
Sawadogo.
Kanute.
Occra.
Ottara.
Banda.

HAWA NI MIZIGO HAWAFAI SUPER CUP.
Lete ushahidi wa hii taarifa kutoka caf
 
Back
Top Bottom