Rasmi: Napiga chini mapenzi

Rasmi: Napiga chini mapenzi

Leo naapa mbele ya umati kwa jina langu halisi Issa kuwa sitafagilia Mapenzi kwa msoto huu unatosha sama ndugu zangu inatosha

Yesu anifanyie Moyo mpya la sivyo dunia hii itajawa na mbegu zangu ila naomba tu niwe mtu mwema nilizaliwa mwenyewe na nitadanja mwenyewe

Mademu nimewakuta na ninawaacha kama mlivyo msifanye niishi kwa shida mimi

Gily
mshamba_hachekwi
To yeye

Hii ndio lialia yangu ya mwisho tukutane kwenye tech wakuu sijapita kitambo sana baada ya kunogewa na uzushi wa jukwaaa la entertainment

View attachment 2619401

View attachment 2619402
Lakini wajina wako (ISSA/YESU) aturudi kuoa sasa sjui utampinga kwa hoja gani mana yule mwamba anamaswali ya kuchanganya UBONGO.
 
uwezi ikimbia nature
Sio kweli walioikimbia wameikimbiaje?
Kundi la kataa ndoa huwa nawakataa😃😃

ushawahi kuona wapi mpiga nyeto akaoa?🤣🤣
Hahahh kwaiyo unasemaje? Mm mpiga nyeto? Sio kweli kaka one time one time kwani mpaka vyuma vipate kutu one day tunavipaka mafuta tunasigua
Love is Beautful 🥰
Never Trust This shit
kijana ulichokiandika hapa hakiwezekani....
Nunua pampasi jana ulilowesha godoro utaliozesha
akikata atacama upinde🤣🤣🤣 fala sana huyu dogo
Nini wewe ni bless dada yako basi tatizo wachaga kama matrey ya mayai huwezi jua mbele ni wapi
malaya wote hao analilia mapenzi🤣🤣🤣
Mkuu so unanishauri nipite nao tena nazigo la njumu home
dogo jau analetaleta tu nyuzi za kisee... humu kila siku 😂
Au sio nend basi ukasome zenye faida
Binadamu mtakatifu? [emoji848]
Ndio unawaza nini?
analeta nyuzi anazikimbia
Nipo mbona
Watukufu wenzio kina Gwajima na sharif Majin wanalilia teuzi we unalilia uchi.
Hahah tutafika tu wacha wapukutishane nafasi zikibaki tunajaza sisi
umri namba tu, dogo ana matatizo yake binafsi
Sina tatizo binafsi ila moyo niliopewa bure unanitesa sana
 
Sio kweli walioikimbia wameikimbiaje?

Hahahh kwaiyo unasemaje? Mm mpiga nyeto? Sio kweli kaka one time one time kwani mpaka vyuma vipate kutu one day tunavipaka mafuta tunasigua

Never Trust This shit

Nunua pampasi jana ulilowesha godoro utaliozesha

Nini wewe ni bless dada yako basi tatizo wachaga kama matrey ya mayai huwezi jua mbele ni wapi

Mkuu so unanishauri nipite nao tena nazigo la njumu home

Au sio nend basi ukasome zenye faida

Ndio unawaza nini?

Nipo mbona

Hahah tutafika tu wacha wapukutishane nafasi zikibaki tunajaza sisi

Sina tatizo binafsi ila moyo niliopewa bure unanitesa sana
unamtaka dada yangu kisha unamponda😀 kwa hiyo moyo wako unataka matako makubwa na mbususu mmato?🤣

hela unapata unaenda kubet upate hela ya kuhonga dah
 
Pole mkuu....ni kweli kwenye mapenz hakuna issues kubwa kivileee....lakin love is so sweet....achana na Ile kupigana miti....Yaan namaanisha zile hisia tamu Kwa umpendae
 
1683957831237.png
 
Hii kataa ndoa ndoa ni utumwa na maneno mengine ya kipuuzi mnaendeleza mnaona kama ni kuchekesha ila aminini huu ujinga unamaana sana kwa wapbavu na wanamalengo na hii promo yenu
 
Back
Top Bottom