Leo naapa mbele ya umati kwa jina langu halisi Issa kuwa sitafagilia Mapenzi kwa msoto huu unatosha sama ndugu zangu inatosha
Yesu anifanyie Moyo mpya la sivyo dunia hii itajawa na mbegu zangu ila naomba tu niwe mtu mwema nilizaliwa mwenyewe na nitadanja mwenyewe
Mademu nimewakuta na ninawaacha kama mlivyo msifanye niishi kwa shida mimi
Gily
mshamba_hachekwi
To yeye
Hii ndio lialia yangu ya mwisho tukutane kwenye tech wakuu sijapita kitambo sana baada ya kunogewa na uzushi wa jukwaaa la entertainment
View attachment 2619401
View attachment 2619402