Mawembasa1979
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 2,540
- 3,333
Hivi hili tatizo la Simba kufungwa na Yanga hata pale ambapo Yanga ni mbovu kupindukia linamalizwaje Ndugu zangu.Kwani nkuulize swali.. chama ndio alikuwa mfungaji bora au hawakuwepo simba ilipofungwa na yanga mechi zilizotangulia.? Pili hata kina chama na Luis mwanzo mliwabeza mkaja kuwaelewa baadae tulia utajua hujui kunywa mtori nyama utazikuta