Simba alisha fungwa na Yanga akiwemo Chama na wengineo mara kadhaa, Mpira wa Tanzania hassa Simba na Yanga wanauharibu sana, jaribu ufikirie uongozi wote wa Yanga na mwekezaji hawakujua kuna mechi muhimu ya Yanga na Rivers united Caf Champions league? Umuhimu huo ni wa kuitangaza na kuinufaisha Yanga lakini kilichotokea walifungwa nyumbani na ugenini! Sababu ? Timu bado haina muunganiko? Kweli hawakujua? Yanga kashinda ngao ya Jamii dhidi ya Simba nini alichokipata ? Ni zaidi ya kumfunga mtani tu? Ngao ya jamii!
Yanga na usajili na makocha woote kwa ajili ya ligi kuu na Mapinduzi Cup hadi mwakani? Hii sio sawa hadi sasa Yanga imefeli.
Simba imeuza wachezaji wake bora ili iwe nini? Washindane ? Hapana mwekezaji kapata pesa na ahadi lukuki kwa Timu ilio sajili wachezaji ambao bado sana.
Yanga kasajili pain killers wachezaji wa msimu kwingineko hawatakiwi umri majeruhi n.k.
Simba vivyo hivyo, Simba huenda wakipata kocha bora wamesajili angalau wenye umri mdogo kwa ajili ya biashara zaidi! Nadhani na sio kwa baadaye.
Kwa hiyo Simba vs Yanga ndio habari za mjini wakitoka nje vipigo, wawekezaji wote wana usiasa na wana malengo yao hakuna seriousness.
Kama nyakati za Azim Dewji na Hayati Abbas Gulamali , Yale Yale ,
Hakuna jipya. Leo hii wapenzi wa Yanga wamefurahi kweli kweli kumfunga Simba !!!
Wamesahau ya Caf !!!
Na Simba wamechukia kweli kweli kufungwa na Yanga wasisahau - Ya Caf champions league, na sioni Simba ikifanya vizuri baada ya hatua hii inahitaji muda kidogo na hassa ni wakati muafaka kubadilisha kocha awe na uwezo wa kujenga Timu halafu na sio kumtegemea Mugalu , Bocco na Kagere kama strikers na Wawa na Onyango kama defenders mbele ya Timu kubwa Africa itakuwa aibu.