Rasmi nawaondoa simba kwenye mbio za ubingwa 2021-2022

Rasmi nawaondoa simba kwenye mbio za ubingwa 2021-2022

Simba alisha fungwa na Yanga akiwemo Chama na wengineo mara kadhaa, Mpira wa Tanzania hassa Simba na Yanga wanauharibu sana, jaribu ufikirie uongozi wote wa Yanga na mwekezaji hawakujua kuna mechi muhimu ya Yanga na Rivers united Caf Champions league? Umuhimu huo ni wa kuitangaza na kuinufaisha Yanga lakini kilichotokea walifungwa nyumbani na ugenini! Sababu ? Timu bado haina muunganiko? Kweli hawakujua? Yanga kashinda ngao ya Jamii dhidi ya Simba nini alichokipata ? Ni zaidi ya kumfunga mtani tu? Ngao ya jamii!

Yanga na usajili na makocha woote kwa ajili ya ligi kuu na Mapinduzi Cup hadi mwakani? Hii sio sawa hadi sasa Yanga imefeli.

Simba imeuza wachezaji wake bora ili iwe nini? Washindane ? Hapana mwekezaji kapata pesa na ahadi lukuki kwa Timu ilio sajili wachezaji ambao bado sana.

Yanga kasajili pain killers wachezaji wa msimu kwingineko hawatakiwi umri majeruhi n.k.
Simba vivyo hivyo, Simba huenda wakipata kocha bora wamesajili angalau wenye umri mdogo kwa ajili ya biashara zaidi! Nadhani na sio kwa baadaye.

Kwa hiyo Simba vs Yanga ndio habari za mjini wakitoka nje vipigo, wawekezaji wote wana usiasa na wana malengo yao hakuna seriousness.

Kama nyakati za Azim Dewji na Hayati Abbas Gulamali , Yale Yale ,
Hakuna jipya. Leo hii wapenzi wa Yanga wamefurahi kweli kweli kumfunga Simba !!!
Wamesahau ya Caf !!!

Na Simba wamechukia kweli kweli kufungwa na Yanga wasisahau - Ya Caf champions league, na sioni Simba ikifanya vizuri baada ya hatua hii inahitaji muda kidogo na hassa ni wakati muafaka kubadilisha kocha awe na uwezo wa kujenga Timu halafu na sio kumtegemea Mugalu , Bocco na Kagere kama strikers na Wawa na Onyango kama defenders mbele ya Timu kubwa Africa itakuwa aibu.
 
Kila mtu eti amekua mchambuzi wa soka.
Msimu uliokwisha kwenye mapinduzi cup Zanzibar Yanga walibeba ubingwa Chama na Merquison wakiwemo...
kufungwa na yanga chama na miqueson wakiwepo si tatizo kwa simba, tatizo kubwa ni je sajili zitatupa walau nusu ya mchango wa chama na miqueson katika team?
 
Tatizo la yanga la kutokupata magoli limehamia Simba rasmi
Jeuri ya moo kumuondoa Chama itawatokea puani Wana msimbazi msimu huu
Kwani chama alikua anafunga kila siku au.yy ndio mfungaji bora wa msimu uliopita..?
 
mpira sio mechi 1 bt sajili zile sidhani kama watatupa hata nusu ya magoal ya chama na luis, ujue misimu yote yanga walohangaika kuchukua ubingwa ni ajili ya uhaba wa magoal na hili ndo tatizo linalotukabili kwa sasa, tunacheza vizuri sana bt mipango ya magoal ndo haieleweki.
Kwani nkuulize swali.. chama ndio alikuwa mfungaji bora au hawakuwepo simba ilipofungwa na yanga mechi zilizotangulia.? Pili hata kina chama na Luis mwanzo mliwabeza mkaja kuwaelewa baadae tulia utajua hujui kunywa mtori nyama utazikuta
 
Kama Simba kipigo cha jana hamjashtuka kuhusu kikosi chenu basi subirini ligi ianze ndo mtajua hamjui.
 
Huyu aliuzwa kisa insta live
Kalazimisha kuuzwa yeye acha porojo. Ofa iliyowekwa ilikua nzuri kwake hasa mshahara wake nk [emoji1787][emoji1787][emoji1787] uto mumeshupalia ya simba wakati.mumechapwa na ndanda ya nigeria huko CAF
 
Kalazimisha kuuzwa yeye acha porojo. Ofa iliyowekwa ilikua nzuri kwake hasa mshahara wake nk [emoji1787][emoji1787][emoji1787] uto mumeshupalia ya simba wakati.mumechapwa na ndanda ya nigeria huko CAF
Kauzwa shingapi?
 
Ngoja tuone mchakamchaka wa ligi pindi itakapo Anza,Mana Kama ni kufungwa na yanga washawahi kutufunga hata kipindi ambacho tuna timu Bora, Cha msingi ni kusubiria kitakachotokea huko mbeleni...
 
Nenda ofisi za club utapewa majibu.
Skia jamaa Chama kauzwa kwa hasara ya kutupwa na ndo Mana price yake haijulikani mpaka leo

Chama aliongeza mkataba na kupandishiwa mshahara wake ili adumu muda mrefu Simba,iweje auzwe ghafla hivyo?
Huyu aliuzwa ili ionekane hakuna mkubwa kuliko Simba
 
Skia jamaa Chama kauzwa kwa hasara ya kutupwa na ndo Mana price yake haijulikani mpaka leo

Chama aliongeza mkataba na kupandishiwa mshahara wake ili adumu muda mrefu Simba,iweje auzwe ghafla hivyo?
Huyu aliuzwa ili ionekane hakuna mkubwa kuliko Simba
Acha udaku wewe. Watu wanajitambua hapa hizo stori za vijiweni kwenu lishaneni hapo nyie kwa nyie.
 
Simba ya msimu huu ni kupigwa tu,sikupenda wale wachezaji kuondoka.They were the game changers
 
Mwaka huuu....tuombe mungu simba asishuke top four basi habar za ubingwa tuwaachie yanga na azam.
 
Back
Top Bottom