Mawembasa1979 JF-Expert Member Joined Feb 26, 2015 Posts 2,540 Reaction score 3,333 Sep 28, 2021 #81 Mr Mbaga333 said: Kwani nkuulize swali.. chama ndio alikuwa mfungaji bora au hawakuwepo simba ilipofungwa na yanga mechi zilizotangulia.? Pili hata kina chama na Luis mwanzo mliwabeza mkaja kuwaelewa baadae tulia utajua hujui kunywa mtori nyama utazikuta Click to expand... Hivi hili tatizo la Simba kufungwa na Yanga hata pale ambapo Yanga ni mbovu kupindukia linamalizwaje Ndugu zangu.
Mr Mbaga333 said: Kwani nkuulize swali.. chama ndio alikuwa mfungaji bora au hawakuwepo simba ilipofungwa na yanga mechi zilizotangulia.? Pili hata kina chama na Luis mwanzo mliwabeza mkaja kuwaelewa baadae tulia utajua hujui kunywa mtori nyama utazikuta Click to expand... Hivi hili tatizo la Simba kufungwa na Yanga hata pale ambapo Yanga ni mbovu kupindukia linamalizwaje Ndugu zangu.
Theb JF-Expert Member Joined Jan 25, 2019 Posts 3,927 Reaction score 7,276 Sep 28, 2021 #82 Mawembasa1979 said: Hivi hili tatizo la Simba kufungwa na Yanga hata pale ambapo Yanga ni mbovu kupindukia linamalizwaje Ndugu zangu. Click to expand... Tatzo yanga wanaroga sasa uchawi simba sijui wana kwama.wapi. ?
Mawembasa1979 said: Hivi hili tatizo la Simba kufungwa na Yanga hata pale ambapo Yanga ni mbovu kupindukia linamalizwaje Ndugu zangu. Click to expand... Tatzo yanga wanaroga sasa uchawi simba sijui wana kwama.wapi. ?