Rasmi NCCR Mageuzi yajitoa Uchaguzi Serikali za Mitaa

Rasmi NCCR Mageuzi yajitoa Uchaguzi Serikali za Mitaa

Hahaha CHADEMA kimeonyesha njia wengine wote wanafuata.

Chafo kasahau hakuna mgombea huru?!
 
Haya mmeruhusiwa hata hao vilaza wenu wasijua kujaza fomu ruksa! Mpaka kieleweke mlitaka kisingizio tuko na nyinyi tu.
Mpo na nyinyi kina nani? Naona unatafuta basha kwa nguvu. Mi kisamvu cha kopo nishaacha kula.
 
Hao 11 wako wenyewe hawana hata mwenyekiti wa kitongoji hao wanapambania kupata ruzuku tu
Na sasa hii ni nafasi yao kuandikwa kwenye vitabu vya Tamisemi kuwa; Tuipata washindani kwenye uchaguzi
 
Chama cha NCCR-Mageuzi kimetangaza kujitoa kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 24. Msimamo huo umetolewa leo na Mwenyekiti James Mbatia jijini Dodoma.
Hongera sana Mh. Mbatia na Kamati kuu ya NCCR kwa uamuzi wa Kidemokrasia
 
Wewe ulifikiri hicho chama kingeweza kushinda hata mtaa mmoja? Vipi mbona hutangazi vile 11 vinavyoshiriki uchaguzi?

Hivyo vyama 11 ni vyama au mavi?

Vyama hata majina yake huyajui navyo ni vyama?

Stop this nonsense!
 
Wamelia sana tukawasamehe. Mungu alishasema samehe 70 x 70 mkuu!
Kama mna mamlaka ya kuwafuta kwakuwa wamekosea kujaza fomu,. Mna mamlaka ya kuwarejesha baada ya kulia Sana.
Basi mna mamlaka ya kutangaza ushindi mumtakae.
Endeleeni hamna haja kupiga kura.
 
Ccm Pekee Yake
Inachukua Inaweka!!! Haa Waaa
 
Back
Top Bottom