Sasa kama Russia kaweza kwanini sisi tusiweze ni swala la muda TU madhari lonauwezekano wa kufanyika litafanyika TU hata kama litachukua muda kiasi gani. Pili ni china nae kafanya hvy
Watanzania bana sijui tukoje! Nigeria ndio wameamua kutumia mfumo huo kwa malengp ya kuimarisha sarafu yao,watanzania tunapinga tunasema haiwezekani! Hawa watu wamekaa chini wametathimini wakaona inawezekana ndio maana wakatoa tangazo. Sisi tunaongea maneno matupu kuwa haiwezekani.
Uzuri wameongelea ununuzi wa mafuta ghafi tu sio kila bidhaa itafanyika kwa naira. Na hawajasema kuwa wanaitupilia mbali dola bali wanafanya biashara ya ya mafuta kwa naira.
Ikitokea wamejaribu na wasifanikiwe, bado wataonekana ni majasiri sababu wamedhubutu tofauti na sisi ambao hata kujitambua tu ni shida. Tuwape moyo wanapojaribu kujitoa kwenye makucha ya hao wanyonyaji sio kuwakatiksha tamaa.
Tatizo unafikiria Russia ni Zimbabwe. 2 years hawatumii dollar + 17,000 economic sanctions lakini uchumi wao bado unakua. Iran hatumii $ na ana vikwazo, niambie kuna nchi Africa ya kushindana nayo kiuchumi?.Ka move on su kabanwa?
Akilegezewa vikwazo anarufi mbio.
Mfungwa kukwambia tuliisha zoea na kufurahia maisha gerezani haimaanishi hapendi uhuru.
Inamaanisha ka adopt hali anayolazimishwa kuiishi.
Umejibu vema, lakini hapo kwa mchina umepuyanga. Sahivi unaweza kulipia Tshs to Yuan, hata gari kwasasa sio lazima ulipie kwa $, ukitaka kwa japanese Yen unalipia fresh kabisa.Marekani kama super power wa dunia ameweka mifumo yote ya kukopesha ,kutoa huduma etc kwa dollar
TAnzania na third world countries tuna import almost everything, jusi nimeshangaa kumbe hadi nondo za kujenga sky scrappers tuna import achana na bidhaa nyingine za ujenzi, kwa hiyo yule ghorofa obviously atapiga mahesbu yake kwa usd ili apate faida baada ya kuinvest
Serikali inakopa kwa dollar na ili ilipe itabidi iwe na reserve kubwa bot ya dollar kuweza kulipa madeni yake na kuwezesha kuimport bidhaa kwa wananchi wake maana dollar ndio major currency inayotumika kwenye soko la kimataifa, leo hata ukitaka kitu china mchina atakupa quotation ya dollar
Kwahiyo demand ni kubwa mno mno
Wabungo wana mahaba sana na usa huwaambii kitu utasikia ni mamtoni huko juu na humemwewbii kitu kuhusu usaTatizo unafikiria Russia ni Zimbabwe. 2 years hawatumii dollar + 17,000 economic sanctions lakini uchumi wao bado unakua. Iran hatumii $ na ana vikwazo, niambie kuna nchi Africa ya kushindana nayo kiuchumi?.
Wenzetu wana watu wenye IQ kubwa za kuongoza nchi, sio kama kwetu huku kila kitu uchawa $ imefika 2,800.
Wewe ndio bonge la ignorant, unafahamu wakati wa utawala wa makaburu dola moja ilikuwa sawa na rand ngapi na leo wanapotawala hao waswahili exchange rate ikoje.Sio kujitekenya hiyo hatua itapandisha thamani ya Naira
Nenda hapo Afrika kusini tu dolla huwa hawataki wanataka ununue bidhaa zao kwa Rand
Unanunua Rand kwa dola ndio ununue bidhaa zao kwa Rand
Hata uelewi chochote kuhusu hizo nchi. wale ni wazalshaji wakubwa wa mafuta duniani. Urusi ina reserve kubwa sana ya Dollar, na hata Iran unadhani mafuta wanauza kwa madafu?Tatizo unafikiria Russia ni Zimbabwe. 2 years hawatumii dollar + 17,000 economic sanctions lakini uchumi wao bado unakua. Iran hatumii $ na ana vikwazo, niambie kuna nchi Africa ya kushindana nayo kiuchumi?.
Wenzetu wana watu wenye IQ kubwa za kuongoza nchi, sio kama kwetu huku kila kitu uchawa $ imefika 2,800.
Kwanini tusinunue Rand kwa Tsh wakati Africa Kusini ni ndugu zetu na tuliwasaidia katika harakati za ukombozi?!Sio kujitekenya hiyo hatua itapandisha thamani ya Naira
Nenda hapo Afrika kusini tu dolla huwa hawataki wanataka ununue bidhaa zao kwa Rand
Unanunua Rand kwa dola ndio ununue bidhaa zao kwa Rand
Wewe unabishana na Nanani?Wao ndo wameona hivo marekani anafanya biashara ya Dora nchi nyingi zimeshituka walianza European union na wengine watafuataSasa kama bado unatakiwa kwenda na dola ya kimarekani kwenye benki kuu ya Nigeria eti ndio ubadilishiwe wakupatie hayo madafu yao ndio ukanunulie mafuta, mbona bado ni dola ileile inatumika.
Hizo ni siasa tu za kitoto hamna anayeweza kuacha kutumia dola kwenye biashara ya kimataifa.
Majuzi tu tumeagiza mashine moja toka China na tumetumia dola ya kimarekani kwani Proforma Invoice ilitumwa kwamba tulipe kwa dola ya kimarekani na hatukuona Yuan ya China.
Haya mambo ya kusema watu wanaachana na dola ya kimarekani kwenye biashara ya kimataifa ni uongo mtupu. Halafu itakumbukwa kwamba mataifa yanadaiwa madeni kwa dola na yanatakiwa yalipe sasa yataachaje kutumia dola.😯😯
Wewe unabishana na Nanani?Wao ndo wameona hivo marekani anafanya biashara ya Dora nchi nyingi zimeshituka walianza European union na wengine watafuata