Rasmi nimeamua kuachana na betting. Kubet ni kutafuta umasikini na ufukara

Mimi leo nimeliwa Laki Tatu. Nilichogundua betting sio njia ya kutokea kimaisha. Betting hutakiwi kuifanya kama kazi. Yote kwa yote betting ni hasara.
Ni kazi kama kazi nyingine, tatizo tamaaa
 
Maisha yote ni kamari.
Unasoma ukitegemea kutoka kimaisha ila mambo yanakuwa tofauti
For sure tena ki Africa Africa particularly Tanzania bongo kila kitu almost ni kubet

Kutafuta wenza tunabet
Kusoma watu wana bet
Siasa kuchagua viongozi tunabet

Almost every where tuna bet
 
nishakula kama laki tano hivi,nishaliwa zaidi ya hela hiyo.

nimerudisha hela yangu kidogo.

bv am happy.

i loved the whole adventure.
 
Tangu nione hii video sichezi TENA casino
Betting ni hasara, imelalia upande mmoja
Your browser is not able to display this video.
 

Attachments

  • cartoon_videoos-video-2021_05_05_00_33.jpg
    24.4 KB · Views: 19
  • jaymaudaku-igtv-2021_05_11_09_55.mp4
    21.7 MB
Mkuu ukiona unaliwa sana ujue unakaribia kula ,,,,usiache betting
 
Haina noma Mkuu,
Sasa hauna tips za mechi za leo nikatupia mzigo hata sikukuu hii nisitoke kapa?
We endelea kubaki tu Mpenzi mtazamaji, Tips unanipa mimi.
 
Haina noma Mkuu,
Sasa hauna tips za mechi za leo nikatupia mzigo hata sikukuu hii nisitoke kapa?
We endelea kubaki tu Mpenzi mtazamaji, Tips unanipa mimi.
Kuna uzi humu ndugu kama wewe ni gambler mzoefu utakuwa unaufahamu
 
Chris wood vp umefanikiwa kuacha kubeti au ndo umeamua kurudi kuzikimbiza hasara zako? Hii kitu ni kama drugs..niliingia tu nione experience yake ikoje ila i still regret the decision i made that day aisee
 
Da pole sana, kwakua umechelewa sana kuujua ukweli
 
watu wanakula wewe unaliwa, waachie wanaokula ndugu. kuna ndugu yangu anaweka elfu moja tu na anaweka timu 30 (thelathini), ameshinda mara mbili mbele yangu, kwanza akashinda 1.6milion, mara ya pili akawala 1.4millin
on kwa elfu moja. mm nashukuru wakati wote kanipa elfu kumi kumi 😛
 
Bet with only what you can afford to loose.Shida ya vijana wengi wameichukulia betting Kama ajira/ kiteka uchumi.
Pia too much expectations ndo huwa zinaumiza watu kwenye betting.
 
U Upo mkoa gani mkuu
 
Kwa wanaobet sh 2000 au 500 hawawezi kukuelewa tuliobet mpk milioni na zaidi tunaelewa.

Betting ilinifilisi nikapoteza gari 2 na pesa kibao nakadria nimepoteza takriban mil 30 kwenye betting. Mungu mwema nime quit nimekubali hasara sitarudi tena, nimeanza upya maisha yangu nje ya betting.

Kwa ufupi huwezi tajirika kwa
kamali, utaishia kuwa masikini wa kutupwa. Utapata leo mil 2 kesho utavuta kuiweka kwa odd 2 upate mil 4 unaliwa unapoteza unapambana kuokoa ulicholiwa ndio unapoteza zaidi. Ukija kupata tena basi umeoata sehemu tu ya ulichopoteza .

Kama hujawahi kubet nakusihi usijaribu kabisa huo ni ukoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…