Rasmi nimeamua kuachana na betting. Kubet ni kutafuta umasikini na ufukara

Hongera uamuzi mzuri sana.
Huo uamuzi wa hasira tu! Kapumzika tu huyo! Akirudi akala mikeka miwili atarudi rasmi!

Tatizo wasichokijua watu betting ina upepo! Ukiona siku umebeti mara 3 mfululizo unamla bookmarker tu jua siku hio una upepo! Jiwashe mpaka ambapo utaona game zinaanza kukukataa.Zikichana 2 mfululizo tulia jua upepo umebadilika!

Sasa utakuta pale mtu ndio anaingia mawenge anataka arudishe hasara matokeo yake anafumuliwa marinda! Mi nishaliwa na game moja hela yote nilikuwa nazuia corner kila nikizuia inachana kwa kuongezeka corner moja mara ya tatu mchezo uko mwishoni nikasema narudisha hasara weee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ account ilifuka moshi!
 
Bora hata ningekuwa na bet hiyo 500 angalau ninge survive kilicho nifirisi ni hizo hizo 2 odds halafu unaweka laki
 
Bora hata ningekuwa na bet hiyo 500 angalau ninge survive kilicho nifirisi ni hizo hizo 2 odds halafu unaweka laki
Tatizo unacheza mchezo wa kipumbavu wa mpira! Hauko steady nilishaachanaga na michezo ya ajabu ajabu hio! Nilihamia basket ila napo miyeyusho zikiisha play offs ni vipigo tu! Sahizi nakula hela na cricket
 
Kamari haijawahi kuwa nzuri.
 
Tatizo wengi huwa wanatangaza kuacha lakini hurejea kimya kimya.

Ukiendekeza betting hata nguvu za kiume zitapungua.
Ulipo hapo hata demu utakuwa huna, kama unaye basi migogoro haiwaishi.
Kuliko kumpa shem matumizi unaona bora umpe mhindi akutunzie hela.
 
Siwezi tembeza mihogo ndugu. Ila pesa yangu kuliko kuipeleka kwa muhindi ni bora nifanyie vitu vya maana.

Kuhusu hiyo 70% unajidanganya labda uwe newbie kwenye gemu. Kwa kiswahili hiyo ni bahati nasibu

Kumbe Bado Unaendeshwa Na Maono Ya Bahati Basi Cheza Biko.

Bahat Ni Kitu Cha Ziada Tu Kene Maisha, Betting Ni Kazi Ndo Maana Tunawekeza Muda Na Pesa. Kubali Tu Mzee Hujui Kubet Ulikuwa Unatuchangia Wengine
 
Sure odds halafu umeweka 3-Way ati man ashinde au liver ashinde! Kinachotokea wanatoa draw af inabaki story [emoji23][emoji23][emoji23]
Betting ina disappoint sidhani kama kunakitu kitakuja nidisappoint kama ilivyofanya betting,.unaona kabisa hizi odds 2 au 3 muhindi achomoki nikiweka 50k faida 50k alooo ngoja waanze kucheza utafurahi na roho yako
 
Betting ina disappoint sidhani kama kunakitu kitakuja nidisappoint kama ilivyofanya betting,.unaona kabisa hizi odds 2 au 3 muhindi achomoki nikiweka 50k faida 50k alooo ngoja waanze kucheza utafurahi na roho yako
Mie kwa kuogopa hizo dissapointments nimeamua kuhamia kwenye mchezo tofauti! Thats the only way ila mpira unakera kuliwa ni compulsory timu haziko stable yani!
 
Kumbe Bado Unaendeshwa Na Maono Ya Bahat Basi Cheza Biko.

Bahat Ni Kitu Cha Ziada Tu Kene Maisha, Betting Ni Kazi Ndo Maana Tunawekeza Muda Na Pesa. Kubali Tu Mzee Hujui Kubet Ulikuwa Unatuchangia Wengine
Sio kweli mkuu inaonekana wewe ndio bado hujafunguka .
Betting ni game of chance kama ulikuwa hujui.
Pesa ambayo nimewahi kula in a single day ni nyingi mno sidhani kama utokuja kuishinda, hata stake ninazoweka ni kubwa mno. Lakini zote hizo muhindi kazirudisha na kunifirisi hadi nilizokuwa nazo.
Take time uchunguze betting history yako utapata majibu, whether kuna faida au hasara
 
Ila mwindi anajua kuyumba aisee. Yaani hata ukiweka ashinde yoyote ngoma inaisha sare.

Ukiweka coner zifike 8, zinaishia 7. Ukiweka magoli yafike 2 hawafungani.
Ila mimi pamoja na vipigo navyopata simwachi, mpaka natembea na fimbo.😁😁😁😁
 
Kweli kabisa ndugu hadi hapa sina serious relationship, siku nimepiga hela ya maana ndio naanza pekua phonebook nione nitaenda mbandua nani.Au siku kama nimepigwa kipigo cha mbwa koko naweza tena toa balance niliyobaki nayo kwenda kujipooza nayoyote atakae jishobokesha mbele yangu,
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mimi juzi nikaweka, goli la kwanza, halitokuwa la kujifunga. Ila nimezubaa nafatila live score sinikaona Own goal ikabidi nitupe simu
 
[emoji3][emoji3]
 

Sijui Umeanza Kubet Lini. Mimi Nina Uzoefu Wa Miaka 9 Kene Football Betting, Sidhani Kama Tunashindana Ila Huwezi Kunishawishi. Kuhusu Stake Ni Siri Na Uwezo Wa Mtu, Stake Inaweza Kuwa Ndogo Na Ikawa Tiki Every Single Day.

Ww Unaamini Sana Kene Bahati, Ila Ukweli Ni Kwamba Kazi Ikiwa Ngumu Huna Budi Kuacha, Mzee Betting Ni Maji Ya Shingo Kwako Huiwezi
 
Mie kwa kuogopa hizo dissapointments nimeamua kuhamia kwenye mchezo tofauti! Thats the only way ila mpira unakera kuliwa ni compulsory timu haziko stable yani!
Mimi basketball na football ndio nimewekeza muda mwingi, hizo cricket, kukimbiza farasi huwa sizifatilii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…