Rasmi nimeamua kuachana na betting. Kubet ni kutafuta umasikini na ufukara

Wakuu kutokana na mafanikio na hasara mlizopata kupitia hiyo Betting je would you recommend wengine ambao hawaijui kujaribu bahati zao ama tusiingie kabisa huko? Hizo wins zinatamanisha ila pia hivo vipigo mmh[emoji848]
Sista kama unataka uzeeke mapema ,jaribu kubet. Kama njia ya kutafuta kipato utachakaa haswa.

Pengine uifanye kama starehe unabet hizi 200, 300, 1000 au 2000 uwe unatafuta ya vocha.
 
Sista kama unataka uzeeke mapema ,jaribu kubet. Kama njia ya kutafuta kipato utachakaa haswa.

Pengine uifanye kama starehe unabet hizi 200, 300, 1000 au 2000 uwe unatafuta ya vocha.
Aisee sasa mbona watu hawaachi tu! Mkuu ukicompare ushindi na vipigo je mhindi kakupa hasara ama wewe umempa hasara yeye?
 
Aisee sasa mbona watu hawaachi tu! Mkuu ukicompare ushindi na vipigo je mhindi kakupa hasara ama wewe umempa hasara yeye?
Hawaachi kwa sababu asilimia kubwa wameumizwa sana, wamepoteza pesa nyingi wanataka revenge warudishe pesa zao na huo ndio unakuwa mwanzo wa kupoteza pesa nyingi.

Kiufupi betting ni hasara hasara hasara. Profitable gambler sidhani kama wanafika hata asilimia moja ya wote wanaobeti,
Ingekuwa inalipa asilimia 80 ya vijana na boda boda tungekuwa tunatembelea mavieite humu mjini
 
Kuhusu hasara kuna mwezi nilibahatika nikampiga million 9 ila nikirudi kuangalia kwenye betting history bado ninahasara kubwa mno.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mimi juzi nikaweka, goli la kwanza, halitokuwa la kujifunga. Ila nimezubaa nafatila live score sinikaona Own goal ikabidi nitupe simu
🤣🤣🤣🤣🤣😇😅 pole pole jamaa maana sio kwa kuchekeshana huku
 
Pamoja na kupitia maisha yenye changamoto mbali mbali, sikuwahi hata mara moja kucheza betting, bahati nasibu, network marketing au Forex. Hizo habari za kuvuna pesa kirahisi rahisi nilishazikataa. Akili yangu imegoma kabisa katika hayo.

Najua nikijaribu kujiingiza huko nitakuwa teja wa hizo mambo. Wacha niendelee kuwa maskini lakini nisiwe mtumwa wa kitabia tena nikiangamia huku nikijiona.
 
Yaani mnaoingia kwenye betting,forex na gambling games zozote.... wakati shuleni mlifeli hesabu za probability, differentiation na integration wala statistics...mnajitafutia kifo.
[emoji23][emoji23] sasa ndugu (integration na differentiation) Inahusika vip kwenye Gambling/betting. Hiyo proba ambayo ni zao la statistics itakusaidia kujua chance ya event fulani kutokea whether ni 0.5,0.1 etc lakini haikupi majibu halisi. Ukirusha shilingi hesabu itakwambia majibu ni mawili either kichwa au mwenge p(×)=0.5 Ila nikazi yako wewe kubashiri kama ni kichwa au tail itatokea.

Nimesoma hadi stochastics process, ina dili na game of chance tu,.Nimefundishwa mpaka Gods of luck anavyo fanyakazi kwenye gambling/betting lakini nimeishia kupoteza
 
Wakuu kutokana na mafanikio na hasara mlizopata kupitia hiyo Betting je would you recommend wengine ambao hawaijui kujaribu bahati zao ama tusiingie kabisa huko? Hizo wins zinatamanisha ila pia hivo vipigo mmh[emoji848]
Jiongeze ww ...hela unayo Hongwa ndo uibetie ....hata ukiliwa Huna la kupoteza
Japo hata hiyo ya kuhongwa lazima uliwe kwanza [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Mkuu hiyo ASP ni Afro Shiraz Party au As Soon as Possible??
 
Huyo jamaa si ndo yule bro wako aliyekufukuza home🤣🤣
 
Yaani mnaoingia kwenye betting,forex na gambling games zozote.... wakati shuleni mlifeli hesabu za probability, differentiation na integration wala statistics...mnajitafutia kifo.

Duuuhhhh, Mnapoongelea Forex jitahidini muwe mna elimu kidogo, sasa waliopata A za hayo uliyoyaweka ndio wana uwezo wa kubeti?
 
Vp mkuu Naona mkeka wako wa Jana ulitick[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…