Rasmi nimeamua kufuta Twitter(X), Instagram, Facebook, TikTok kwenye simu yangu

Rasmi nimeamua kufuta Twitter(X), Instagram, Facebook, TikTok kwenye simu yangu

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Kama kichwa Cha habari kinavyoeleza ,sasa ni Rasmi mimi zero Iq nimeamua kufuta Twitter(X),Instagram,tik tok pamoja na facebook kwenye simu na kuamua kubaki na Jamii Forum kama ndio Main social network kwangu ,

Mitandao hiyo mingine naona sasa wanacheza na hela yangu ,Kila upande Kuna Reals za mademu wakali wakitwerk with big ass.

Siyo ass tu ni big ass, big nyash Kiasi kwamba Zero nashindwa kutuliza pochi Nene Kiasi sasa nimefika hatua ya kutaka kufunga kiwanda changu Cha kuchakata viazi kuwa chipsi,

TikTok, Instagram, Twitter(X), Facebook kwa sasa kwangu ni marufuku,Yaani ni Marufuku kabisa.

Jamii forum idumu na iendelee kudumu daima .

Cc zero iq
 
Kama kichwa Cha habari kinavyoeleza ,sasa ni Rasmi mimi zero Iq nimeamua kufuta Twitter(X),Instagram,tik tok pamoja na facebook kwenye simu na kuamua kubaki na Jamii Forum kama ndio Main social network kwangu...
Hiyo uliyofuta yote JF ipo huko Pia.. Kwenye hii mitandao inategemea unataka kuona nini.. Unachochagua ndicho upewacho
 
Kumetokea Nini Nabii
20241002_173233.jpg
 
Kama kichwa Cha habari kinavyoeleza ,sasa ni Rasmi mimi zero Iq nimeamua kufuta Twitter(X),Instagram,tik tok pamoja na facebook kwenye simu na kuamua kubaki na Jamii Forum kama ndio Main social network kwangu...
Hiyo uliyofuta yote JF ipo huko Pia.. Kwenye hii mitandao inategemea unataka kuona nini.. U
you only sees what your eyes want you to see. Hii sentensi aliwahi sema madonna mwanamuziki kwenye ngoma yake ya frozen.
Wanasema gabbege in gabbege out
 
Inategemeana na storyline yako na search history yako.

Mfano mimi youtube utakuta video nazoletewa ni za technology na investigation ila hauwez kuta matakao maana si muda huo...
Mkuu kama tik tok ni nyash tu zinatembea hakuna content za maana kule ,kuna huku Facebook we umejilalia zako unakuta mwana kakutag kwenye Page ya nyash.

Ni Vurugu tupu ,Sitaki nifirisi kiwanda changu mie
 
Kama kichwa Cha habari kinavyoeleza ,sasa ni Rasmi mimi zero Iq nimeamua kufuta Twitter(X),Instagram,tik tok pamoja na facebook kwenye simu na kuamua kubaki na Jamii Forum kama ndio Main social network kwangu ,

Mitandao hiyo mingine naona sasa wanacheza na hela yangu ,Kila upande Kuna Reals za mademu wakali wakitwerk with big ass,
Siyo ass tu ni big ass ,big nyash Kiasi kwamba Zero nashindwa kutuliza pochi Nene Kiasi sasa nimefika hatua ya kutaka kufunga kiwanda changu Cha kuchakata viazi kuwa chipsi,

Tik tok,Instagram ,Twitter(X) ,Facebook Kwa sasa kwangu ni marufuku,Yaani ni Marufuku kabisa.

Jamii forum idumu na iendelee kudumu daima .

Cc zero iq
Hongera sana, nimefanikiwa kuachana na Facebook, Instagram kitambo sana, ila Twitter bado sijaweza ila ntaweza InshaAllah.
 
Back
Top Bottom