Rasmi nimeamua kufuta Twitter(X), Instagram, Facebook, TikTok kwenye simu yangu

Kama kichwa Cha habari kinavyoeleza ,sasa ni Rasmi mimi zero Iq nimeamua kufuta Twitter(X),Instagram,tik tok pamoja na facebook kwenye simu na kuamua kubaki na Jamii Forum kama ndio Main social network kwangu ,

Mitandao hiyo mingine naona sasa wanacheza na hela yangu ,Kila upande Kuna Reals za mademu wakali wakitwerk with big ass.

Siyo ass tu ni big ass, big nyash Kiasi kwamba Zero nashindwa kutuliza pochi Nene Kiasi sasa nimefika hatua ya kutaka kufunga kiwanda changu Cha kuchakata viazi kuwa chipsi,

TikTok, Instagram, Twitter(X), Facebook kwa sasa kwangu ni marufuku,Yaani ni Marufuku kabisa.

Jamii forum idumu na iendelee kudumu daima .

Cc zero iq
Mimi zamani sana nilishaondoa hizo mambo, tena zile zenye videos zinakula mb kama Veros na mafuta
 
Hongera sana, nimefanikiwa kuachana na Facebook, Instagram kitambo sana, ila Twitter bado sijaweza ila ntaweza InshaAllah.
Mi nilianza Facebook ,Instagram ,leo Twitter na tik tok nimefyekelea mbali,
Soon na Whatsapp na yenyewe navyekelea huko
 
Kila la kheri Zero IQ. Kaa mbali na mizigo

WhatsApp Image 2024-10-02 at 10.33.37 AM.jpeg
 
Kama kichwa Cha habari kinavyoeleza ,sasa ni Rasmi mimi zero Iq nimeamua kufuta Twitter(X),Instagram,tik tok pamoja na facebook kwenye simu na kuamua kubaki na Jamii Forum kama ndio Main social network kwangu ,

Mitandao hiyo mingine naona sasa wanacheza na hela yangu ,Kila upande Kuna Reals za mademu wakali wakitwerk with big ass.

Siyo ass tu ni big ass, big nyash Kiasi kwamba Zero nashindwa kutuliza pochi Nene Kiasi sasa nimefika hatua ya kutaka kufunga kiwanda changu Cha kuchakata viazi kuwa chipsi,

TikTok, Instagram, Twitter(X), Facebook kwa sasa kwangu ni marufuku,Yaani ni Marufuku kabisa.

Jamii forum idumu na iendelee kudumu daima .

Cc zero iq
Hongera
 
Back
Top Bottom