Mimi zamani sana nilishaondoa hizo mambo, tena zile zenye videos zinakula mb kama Veros na mafutaKama kichwa Cha habari kinavyoeleza ,sasa ni Rasmi mimi zero Iq nimeamua kufuta Twitter(X),Instagram,tik tok pamoja na facebook kwenye simu na kuamua kubaki na Jamii Forum kama ndio Main social network kwangu ,
Mitandao hiyo mingine naona sasa wanacheza na hela yangu ,Kila upande Kuna Reals za mademu wakali wakitwerk with big ass.
Siyo ass tu ni big ass, big nyash Kiasi kwamba Zero nashindwa kutuliza pochi Nene Kiasi sasa nimefika hatua ya kutaka kufunga kiwanda changu Cha kuchakata viazi kuwa chipsi,
TikTok, Instagram, Twitter(X), Facebook kwa sasa kwangu ni marufuku,Yaani ni Marufuku kabisa.
Jamii forum idumu na iendelee kudumu daima .
Cc zero iq
Mi nilianza Facebook ,Instagram ,leo Twitter na tik tok nimefyekelea mbali,Hongera sana, nimefanikiwa kuachana na Facebook, Instagram kitambo sana, ila Twitter bado sijaweza ila ntaweza InshaAllah.
Aaaaaaaah sio kweli mkuu kuna pahala unafeliπππππ π Huku hakuna Nyash kabisa
Nikupe connection wewe upo toka 2016πππππππππNipe connection mkuuπ π
HongeraKama kichwa Cha habari kinavyoeleza ,sasa ni Rasmi mimi zero Iq nimeamua kufuta Twitter(X),Instagram,tik tok pamoja na facebook kwenye simu na kuamua kubaki na Jamii Forum kama ndio Main social network kwangu ,
Mitandao hiyo mingine naona sasa wanacheza na hela yangu ,Kila upande Kuna Reals za mademu wakali wakitwerk with big ass.
Siyo ass tu ni big ass, big nyash Kiasi kwamba Zero nashindwa kutuliza pochi Nene Kiasi sasa nimefika hatua ya kutaka kufunga kiwanda changu Cha kuchakata viazi kuwa chipsi,
TikTok, Instagram, Twitter(X), Facebook kwa sasa kwangu ni marufuku,Yaani ni Marufuku kabisa.
Jamii forum idumu na iendelee kudumu daima .
Cc zero iq
Nitag mwenye hii account mkuu
Nitag mwenye hii account mkuu
Please nakuombaMkuu, kaa mbali na mizigo π€£ π€£