Rasmi nimeamua kupaki sitatumia tena gari

Kutokana na hali ya uchumi mafuta yamepanda bei vilivyo leo nimeamua kujinyima nikaweka mkebe wangu walau lita 10 za kupashia injini tuu kila baada ya siku saba lkn rasmi nimeamua kupaki sitatumia tena gari labda ubber daladala na bodaboda.
Mkuu ni VXR au
 
Kwanini usiiuze ukawajengee wazazi choo cha kisasa?
 
Kutokana na hali ya uchumi mafuta yamepanda bei vilivyo leo nimeamua kujinyima nikaweka mkebe wangu walau lita 10 za kupashia injini tuu kila baada ya siku saba lkn rasmi nimeamua kupaki sitatumia tena gari labda ubber daladala na bodaboda.
Leta tuibadili itumie baby care kopo dogo la jero
 
Sisi wenye pkpk hatuhusiki. Ukiweka full tank kwa nyumban, kanisani, sokoni na kazini miez 4 sijafika sheli
Watu wazushi tu. Ukute hana hata ka Passo. Yani difference ya shilingi 15 unapaki gari. Shilingi 15 huna chochote unaweza kununua kati mchi hii tangu enzi za Mwinyi.

Ila kama ni kweli bora apaki tuondoe foleni barabarani... maana hivi vi IST vina fujo sana rodini
 
Kutokana na hali ya uchumi mafuta yamepanda bei vilivyo leo nimeamua kujinyima nikaweka mkebe wangu walau lita 10 za kupashia injini tuu kila baada ya siku saba lkn rasmi nimeamua kupaki sitatumia tena gari labda ubber daladala na bodaboda.
Pamoja na mafuta kupanda lakini foleni zipo palepale,ukienda bandarini kila siku meli zinaingiza magari,Mpaka Izraili mtoa roho atufikie atatukuta tumechoka sana huenda akatusahau jinsi atakavyotukuta
 
Kutokana na hali ya uchumi mafuta yamepanda bei vilivyo leo nimeamua kujinyima nikaweka mkebe wangu walau lita 10 za kupashia injini tuu kila baada ya siku saba lkn rasmi nimeamua kupaki sitatumia tena gari labda ubber daladala na bodaboda.
Rekebisha kichwa cha habari. Kwani hizo ubber na daladala utazopanda siyo magari?
 
Kutokana na hali ya uchumi mafuta yamepanda bei vilivyo leo nimeamua kujinyima nikaweka mkebe wangu walau lita 10 za kupashia injini tuu kila baada ya siku saba lkn rasmi nimeamua kupaki sitatumia tena gari labda ubber daladala na bodaboda.
Haya ndio Maamuzi Magumu ya Kiume. Wabongo wengi Hali ni Tete wanakufa na Tai Shingoni
 
Hali ya uchumi ni kwako tu mkuu ,watu wanakula bata za hatari ,zunguka maeneo kila baada ya hatua 50 kuna mtu anaporomosha mansion.

Pitia Tabata baracuda ,40-40 mida ya usiku moja mbili tatu uone watu wanavyokula bata.
Kwa hiyo Tabata ndio Watu wanakula Bata Sio? 🤣🤣
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…