manndungu
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 501
- 483
Mkuu ni VXR auKutokana na hali ya uchumi mafuta yamepanda bei vilivyo leo nimeamua kujinyima nikaweka mkebe wangu walau lita 10 za kupashia injini tuu kila baada ya siku saba lkn rasmi nimeamua kupaki sitatumia tena gari labda ubber daladala na bodaboda.