King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Kwa hiyo Tabata ndio Watu wanakula Bata Sio? 🤣🤣
Yap bata la sinza limehamia TBT.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo Tabata ndio Watu wanakula Bata Sio? 🤣🤣
Tofauti yake hapo ni kwamba watu wa michongo ndio wana furaha sahivi! Wale wa hali ya chini hawana amani wala furaha tena sababu maisha yamekuwa magumu mara 100 zaidi ya hali ilivyokuwa kipindi cha Mwendazake.Nchi taratibu inafunguka.. Jiwe aliibana sana hii nchi ona mama anavyoupiga mwingi... Jaman tuendelee kumuunga mkono mama hakika ametuokoa toka kwenye makucha ya Simba.
Sasa wakifanya kile kipimo chao cha kupima furaha kwa wananchi watapata 90% wana furaha tena iliyopitiliza tena hasa raia wa hapo Dar.
Asante mama, endelea kufungua nchi, tulibanwa sana, yaan kipindi cha Jiwe vyuma vilikaza sana kwa sasa twakushukuru mama.
Kazi iendelee!!!!
Nchi imekua Kama shamba la shule enzi hizo kijijini.Tofauti yake hapo ni kwamba watu wa michongo ndio wana furaha sahivi! Wale wa hali ya chini hawana amani wala furaha tena sababu maisha yamekuwa magumu mara 100 zaidi ya hali ilivyokuwa kipindi cha Mwendazake.
Wenye michogo ni full raha sababu hamna kufuatiliana sahizi wanajipigia mipunga tu na wafanyabiashara wanajipangia mabei watakavyo!
Miaka mitano nyuma ndio zamani?miaka 5 nyuma,