Rasmi nimeamua kupaki sitatumia tena gari

Rasmi nimeamua kupaki sitatumia tena gari

Nchi taratibu inafunguka.. Jiwe aliibana sana hii nchi ona mama anavyoupiga mwingi... Jaman tuendelee kumuunga mkono mama hakika ametuokoa toka kwenye makucha ya Simba.

Sasa wakifanya kile kipimo chao cha kupima furaha kwa wananchi watapata 90% wana furaha tena iliyopitiliza tena hasa raia wa hapo Dar.

Asante mama, endelea kufungua nchi, tulibanwa sana, yaan kipindi cha Jiwe vyuma vilikaza sana kwa sasa twakushukuru mama.

Kazi iendelee!!!!
Tofauti yake hapo ni kwamba watu wa michongo ndio wana furaha sahivi! Wale wa hali ya chini hawana amani wala furaha tena sababu maisha yamekuwa magumu mara 100 zaidi ya hali ilivyokuwa kipindi cha Mwendazake.

Wenye michogo ni full raha sababu hamna kufuatiliana sahizi wanajipigia mipunga tu na wafanyabiashara wanajipangia mabei watakavyo!
 
Nchi imekua Kama shamba la shule enzi hizo kijijini.
Ukiwa mtoto wa mwalimu linakua Kama lenu lkn wakati wa kulima watoto wa walimu tuna vijikazi vidogo vidogo kwenye kivuli.
 
Back
Top Bottom