Vumbi la congo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 666
- 981
Karibu sana LiverpoolNimekua shabiki wa mziki wa bongo na nje ya bongo kwa muda mrefu ila naona sipati burudan kama wanayoipata mashabiki wa football rasmi nimeamia kwa dhat kwenye football na club zangu nilizochagua kuzishabikia ni Simba kwa tanzania na liverpool kwa ulaya hizo ndio timu ambazo nazipenda na nimechagua kuzishabikia
asante sana
Kwanini sio yanga?maana ndio mabingwa watarajiwaNimekua shabiki wa mziki wa bongo na nje ya bongo kwa muda mrefu ila naona sipati burudan kama wanayoipata mashabiki wa football rasmi nimeamia kwa dhat kwenye football na club zangu nilizochagua kuzishabikia ni Simba kwa tanzania na liverpool kwa ulaya hizo ndio timu ambazo nazipenda na nimechagua kuzishabikia
nimeingia simba kwa ushawish wa haji manara na ile game yao na nkana ili hamasisha sana nimejikuta naipenda
nenda facebook mkuuKaribu sana, leo uturuki wanacheza na laliga unadhani nani ataibuka mshindi?
Ndiyo wapi huko bwana mdogo...?!nenda facebook mkuu
Vipi ile match ya Mashujaa?nimeingia simba kwa ushawish wa haji manara na ile game yao na nkana ili hamasisha sana nimejikuta naipenda
Mkuu wewe ni vumbi la Congo type gani,kasongo au ndendele?nimeingia simba kwa ushawish wa haji manara na ile game yao na nkana ili hamasisha sana nimejikuta naipenda