Rasmi nimeamua kuwa shabiki wa mpira wadau nipokeeni

Vumbi la congo

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
666
Reaction score
981
Nimekua shabiki wa mziki wa bongo na nje ya bongo kwa muda mrefu ila naona sipati burudan kama wanayoipata mashabiki wa football rasmi nimeamia kwa dhat kwenye football na club zangu nilizochagua kuzishabikia ni Simba kwa tanzania na liverpool kwa ulaya hizo ndio timu ambazo nazipenda na nimechagua kuzishabikia
 
Karibu sana Liverpool
FB_IMG_15461738762138751.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Winger no 7 ya simba unamjua

Sent from my TECNO K7 using Tapatalk
 
Nimekua shabiki wa mziki wa bongo na nje ya bongo kwa muda mrefu ila naona sipati burudan kama wanayoipata mashabiki wa football rasmi nimeamia kwa dhat kwenye football na club zangu nilizochagua kuzishabikia ni Simba kwa tanzania na liverpool kwa ulaya hizo ndio timu ambazo nazipenda na nimechagua kuzishabikia
Kwanini sio yanga?maana ndio mabingwa watarajiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibu sana, leo uturuki wanacheza na laliga unadhani nani ataibuka mshindi?
 
Back
Top Bottom