Vumbi la congo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 666
- 981
Nimekua shabiki wa mziki wa bongo na nje ya bongo kwa muda mrefu ila naona sipati burudan kama wanayoipata mashabiki wa football rasmi nimeamia kwa dhat kwenye football na club zangu nilizochagua kuzishabikia ni Simba kwa tanzania na liverpool kwa ulaya hizo ndio timu ambazo nazipenda na nimechagua kuzishabikia