Rasmi nimehama CHADEMA kimwili ila akili na kura zangu bado zipo CHADEMA

Rasmi nimehama CHADEMA kimwili ila akili na kura zangu bado zipo CHADEMA

Zombi Mweusi

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2017
Posts
1,088
Reaction score
2,231
Ule msemo hakuna mkate mgumu mbele ya chai leo umenifikia.

Nidiliki tu kusema CCM chaka mliloingia ni sahihi huu utaratibu wa kutununua ili kuudhoofisha CHADEMA tuonekane tunahama kwa makundi tunaenda kuufanya uchaguzi wenu Kuwa mgumu na kuwapandikizia chuki ili mgawanyike.

Hatuchezi nyumbani tu hadi ugenini tupo.
 
Back
Top Bottom