RASMI: Pre Season Ya Yanga SC Kufanyika Tanzania, wachezaji 7 watajwa sababu

RASMI: Pre Season Ya Yanga SC Kufanyika Tanzania, wachezaji 7 watajwa sababu

Tanzania Football politics.
Tutaona kama kwa kupenda au kinyume chake.
 
Sasa ndio mjifunze siku nyingine msijitutumue kushindana na Simba SC kwenye usajili na pesa zenu za magodoro.

Nawahurumia mtahangaika sana kuokoteza visingizio, bado yule jamaa wa Ug hajawakalia kooni vizuri mumpe chake, jiandaeni kutengeneza kisingizio kipya chap!.
 
Sasa ndio mjifunze siku nyingine msijitutumue kushindana na simba SC kwenye usajili na pesa zenu za magodoro.

Nawahurumia mtahangaika sana kuokoteza visingizio, bado yule jamaa wa Ug hajawakalia kooni vizuri mumpe chake, jiandaeni kutengeneza kisingizio kipya chap!.
Mtaweweseka sana mwaka
 
Aidha, manajiment imetoa taarifa kuwa Logistics za maandalizi ya kambi yao ya nje ya nchi hayakiwa yamekamilika kwa wakati hivyo basi wameona ni vyema wasalie nchini kwa ajili ya maandalizi zaidi.
Hii ndio sababu, nyingine zote ni visingizio. Na logistics hizo ni upatikanaji wa fedha!
 
Yanga bhana yaani mnambeleza wachezaji muwalipe kidogo ili hela inayobaki mfanyie mambo mengine wakikomaa timu inayumba, huyo Aziz k ni mmoja tu kagoma bado wengine wanakuja nasikia na daktari wa timu kakaza yaani huko matombo utasikia wiki tu mmerudi
 
Yanga imefulia sawa, Yanga haiwezi kulipa mishahara sawa ila tutakutana August 13 na mwisho wa msimu tutajua nani bingwa.
 
Mhh poleni hela imewishia si mseme tuuu jamani?

Mnatamani kuona pesa iwe imeisha.

Ila mkifikiria kwamba GSM bado yupo katika usukani vichwa vinawawaka moto.
IMG_0653.jpg
 
Uzuri mashabiki wa uto kila wanacho ambiwa wanakubali

Utopolo FC tunapewa ahadi za ukweli na viongozi wetu.

Yule si aliwaambia mnaenda Marekani? Mwisho wa siku akawapeleka Misri kwenye Mashaba ya miwa.

Eng Hersi alisema atachukua Ubingwa msimu huu TUKAAMINI na ikatokea.

Eng Hersi alisema anamshusha Strphane Ki Aziz TUKAAMINI na akamshusha kweli Jangwani.
 
hahahahahaha Genius senzo wakati linaingia mkataba na waturuki hawakujau hii ratiba? au mechi ya taifa stars imestukizzwa? vichaa nyieeee sasa mkalipe hiyo milions 200 ya waturuki haraka..yaani mna book mwezi kabla bila kujua ratiba? Aziz ki kachafua madaftari..hongera Yacouba kwa kumstua mshkaji wako asichukue hela nununusu kama kina Aucho

Okey.

Hizi ni hesabu za walio kwenda shule tu, Ngoja nikutafunie tuone kama utaelewa kitu.

Achana na mkataba wa Sportpesa, GSM, wale milioni 600 walizoingiza Yanga SC msimu huu wa Unbeaten 2021/22.

Mkataba pekee wa Azam TV na Yanga SC ni Bilion 41 kwa Kipindi cha Miaka 10.

41 Bilions gawanya kwa 10 years = 4 Bilions.

Yaani kila mwaka Yanga SC anapokea 4 Bilions.

Sasa chukua 4,000,000,000/= toa Milioni 200,000,000/= (Za kulipa deni Uturuki).

Zinasalia Bilioni 3.8.

Hapo tunatoa milion 400 za usajili wa Stepane Ki Aziz.

Zinasalia Bilion 3.4.

Nadhani pesa bado zipo, Yanga SC hakuna tatizo la kiuchumi pale hata ikitokea GSM asepe leo.
 
Aziz K amewaumiza Wana Simba wengi sana, Baada ya game ya ngao ya jamiii wata paraganyika vibaya. Kwasasa waacheni wachonge.

Yaani kila Uzi mpya utakao anzishwa lazima STEPHANE AZIZ KI wamjadili humo ndani.

Secret admirers.
IMG_0666.jpg
 
actually tumemfurahia sana, yaani ilikuwa ni mwendo wa kujitekenya na kucheeeka kwa sauti..ujio wake tayari impact za kufurahsiha zishaonekana halafu unasema tusikitike , we are glad yupo hapo utopoloni

SiZitaki mbichi hizi. [emoji23][emoji23]
IMG_0666.jpg
 
Natamani sana kuona viongozi wa Yanga na benchi la ufundi wakiibakiza timu nchini kwa maandalizi ya msimu ujao wa ligi, na pia kwa ajili ya mechi za Kimataifa.

Hayo mambo ya kwenda kuweka kambi nje ya nchi, ni mbwembwe tu.

Sijawahi Sikia TP Mazembe au AS Vita au Mamelodi Sundowns, Kaizer Chiefs wala Orlando Pirates wakiendekeza Upuuzi huu wa kuweka makambi nje y mataifa yao.

Huu upuuzi inabidi Tuukomeshe wanayanga yanga.

Yaani leo Al ahly aende Libya kufanya pre season? What a fvcken shit.
 
Utopolo FC tunapewa ahadi za ukweli na viongozi wetu.

Yule si aliwaambia mnaenda Marekani? Mwisho wa siku akawapeleka Misri kwenye Mashaba ya miwa.

Eng Hersi alisema atachukua Ubingwa msimu huu TUKAAMINI na ikatokea.

Eng Hersi alisema anamshusha Strphane Ki Aziz TUKAAMINI na akamshusha kweli Jangwani.
Akasema mnaenda uturuki kumbe uturuki ya buza
 
Sijawahi Sikia TP Mazembe au AS Vita au Mamelodi Sundowns, Kaizer Chiefs wala Orlando Pirates wakiendekeza Upuuzi huu wa kuweka makambi nje y mataifa yao.

Huu upuuzi inabidi Tuukomeshe wanayanga yanga.

Yaani leo Al ahly aende Libya kufanya pre season? What a fvcken shit.
Kumbe kutomuona jirani yako na gari ndy kigezo Cha wewe kumiliki baiskeli
 
Usajili mmoja tu wa hela mko chali mmefulia

Chukua hii bilioni 41 igawe kwa miama 10.

Lengo ni kujua Kila mwisho wa mwaka Yanga SC watapokea kiasi gani.

Haya twende:-

41/10= 4 Bilions per Year.

Kila mwaka Yanga SC inapokea 4 Bilions kutoka Azam TV.

Sasa tutafute milioni 200 ni asilimia ngapi katika bilion 4.

200,000,000/4,000,000,000*100%= 5%

Yaani ni aslimia 5 tu. Hapo hatuja kusanyanmapato ya milion 600 ya ubingwa. Wala mapato ya mikataba na GSM wala yale ya mwaka ya Sportpesa.

Walivyosema Yanga SC watachukua ndoo kwa miaka 10 mfululizo kumbe ni jeuri ya hii pesa ya Azam TV
IMG_0678.png
 
hii ndio sababu, nyingine zote ni visingizio. Na logistics hizo ni upatikanaji wa fedha!

Za Ndaaaaaaani kabisa. FEDHA SIO TATIZO.

Chukua hii bilioni 41 igawe kwa miama 10.

Lengo ni kujua Kila mwisho wa mwaka Yanga SC watapokea kiasi gani.

Haya twende:-

41/10= 4 Bilions per Year.

Kila mwaka Yanga SC inapokea 4 Bilions kutoka Azam TV.

Sasa tutafute milioni 200 ni asilimia ngapi katika bilion 4.

200,000,000/4,000,000,000*100%= 5%

Yaani ni aslimia 5 tu. Hapo hatuja kusanyanmapato ya milion 600 ya ubingwa. Wala mapato ya mikataba na GSM wala yale ya mwaka ya Sportpesa.

Walivyosema Yanga SC watachukua ndoo kwa miaka 10 mfululizo kumbe ni jeuri ya hii pesa ya Azam TV
IMG_0677.png
 
Back
Top Bottom