Mtaweweseka sana mwakaSasa ndio mjifunze siku nyingine msijitutumue kushindana na simba SC kwenye usajili na pesa zenu za magodoro.
Nawahurumia mtahangaika sana kuokoteza visingizio, bado yule jamaa wa Ug hajawakalia kooni vizuri mumpe chake, jiandaeni kutengeneza kisingizio kipya chap!.
Hii ndio sababu, nyingine zote ni visingizio. Na logistics hizo ni upatikanaji wa fedha!Aidha, manajiment imetoa taarifa kuwa Logistics za maandalizi ya kambi yao ya nje ya nchi hayakiwa yamekamilika kwa wakati hivyo basi wameona ni vyema wasalie nchini kwa ajili ya maandalizi zaidi.
Uzuri mashabiki wa uto kila wanacho ambiwa wanakubali
hahahahahaha Genius senzo wakati linaingia mkataba na waturuki hawakujau hii ratiba? au mechi ya taifa stars imestukizzwa? vichaa nyieeee sasa mkalipe hiyo milions 200 ya waturuki haraka..yaani mna book mwezi kabla bila kujua ratiba? Aziz ki kachafua madaftari..hongera Yacouba kwa kumstua mshkaji wako asichukue hela nununusu kama kina Aucho
actually tumemfurahia sana, yaani ilikuwa ni mwendo wa kujitekenya na kucheeeka kwa sauti..ujio wake tayari impact za kufurahsiha zishaonekana halafu unasema tusikitike , we are glad yupo hapo utopoloni
milestone ya utopolo msimu huu ni usajili wa ki aziz? matter of fact is....ujio wake umeleta mengi ya kufurahisha sana mengine tunayaona bado mengine yanakuja..good move idiotsSiZitaki mbichi hizi. [emoji23][emoji23]View attachment 2293846
Si wamezoea free agent na loan signingUsajili mmoja tu wa hela mko chali mmefulia
Natamani sana kuona viongozi wa Yanga na benchi la ufundi wakiibakiza timu nchini kwa maandalizi ya msimu ujao wa ligi, na pia kwa ajili ya mechi za Kimataifa.
Hayo mambo ya kwenda kuweka kambi nje ya nchi, ni mbwembwe tu.
Akasema mnaenda uturuki kumbe uturuki ya buzaUtopolo FC tunapewa ahadi za ukweli na viongozi wetu.
Yule si aliwaambia mnaenda Marekani? Mwisho wa siku akawapeleka Misri kwenye Mashaba ya miwa.
Eng Hersi alisema atachukua Ubingwa msimu huu TUKAAMINI na ikatokea.
Eng Hersi alisema anamshusha Strphane Ki Aziz TUKAAMINI na akamshusha kweli Jangwani.
Kumbe kutomuona jirani yako na gari ndy kigezo Cha wewe kumiliki baiskeliSijawahi Sikia TP Mazembe au AS Vita au Mamelodi Sundowns, Kaizer Chiefs wala Orlando Pirates wakiendekeza Upuuzi huu wa kuweka makambi nje y mataifa yao.
Huu upuuzi inabidi Tuukomeshe wanayanga yanga.
Yaani leo Al ahly aende Libya kufanya pre season? What a fvcken shit.
Usajili mmoja tu wa hela mko chali mmefulia
hii ndio sababu, nyingine zote ni visingizio. Na logistics hizo ni upatikanaji wa fedha!