Imeniuma sana, ila hela alizidiwa na kila MTU, Neyma, Grizman, Messi..... Na Real hawakutaka ongeza dau maana umri umeenda
Ha ha asanteSimira,
Hongera kwa ushindi wa timu yako France.
Imeniuma sana, ila hela alizidiwa na kila MTU, Neyma, Grizman, Messi..... Na Real hawakutaka ongeza dau maana umri umeenda
Mkuu mimi nimeelewa jamaa kilichomuuma ni CR7 kuondoka Madrid ila akajipa moyo kwamba ilibidi aondoke ili kutafuta malisho zaidi maana wenzake wamemzidi.Mshahara wa Ronaldo inakuuma? Maajabu haya!
Messi anabebwa pale barca, hana ubavu wa kuama...Kamkimbia La pulga
kwel kabsaaAcha aonje ladha ya soka la Italy.. Then asepe CHINA au U.S.A
Zidane kaanza wao wanamaliza.
Tumia ubongo wako kufikiria.The god of modern football!! Ameanzia portugal, akaenda premiar legue akaenda tena la liga!! Sasa kaenda italy!!
Messi yupo tu hapo barca na hatak kutoka maana anajua akitoka amepotea kwenye raman ya mpira...
CR7
Mwonekano wa Neymar tu mauzo yake ni double platnumz hapo bado hajaonesha skills zake , achana na hao walugaluga kina Hazard[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha ubishoo wake sindio wanautumia kibiashara zaidi.
Kuna vitu vichache akivifanyia kazi bwana mdogo Neymar atakuwa bora zaiidi. Mfano kutoa pasi mapema na kupunguza madoido mahali pasipo na ulazima.
Atoke akatafute nini?The god of modern football!! Ameanzia portugal, akaenda premiar legue akaenda tena la liga!! Sasa kaenda italy!!
Messi yupo tu hapo barca na hatak kutoka maana anajua akitoka amepotea kwenye raman ya mpira...
CR7
Hana sabb ya kuondoka pale kama huyo Ronaldo aliyenyimwa nyongeza ya mkatabaMessi anabebwa pale barca, hana ubavu wa kuama...
Cr7 kaanzia portugal, katua man u, kaenda real kote huko alikimbiza... Na sasa kaenda juve!!
Mwambie messi atoke hapo barca uene kama hatapotea kabisa... View attachment 807003
Hawa pro Ronaldo hawawezi kuelewa, kama Cassilas mzawa wa pale Madrid aliondoka kama mbwa bila hata kuagwa kwahyo cr7 kunyimwa mkataba ni kawaida tu kitu ambacho kisingetokea kwa Xavi, INIESTA, Messi au BusquetsTumia ubongo wako kufikiria.
Unataka messi atoke barca aende wapi?
Timu pekee yenye hadhi ya Messi ni barcelona au Real madrid na ni wazi kabisa hawezi enda Real madrid.
Huko Barcelona Messi amekulia tokea udogoni, analipwa mshahara anaoutaka unataka aende wapi sasa?
Messi ndio kila kitu Barca tofauti na Ronaldo, Messi ndiye mfungaji bora, messi ndiye mtoaji wa assist nyingi zaidi Barca, yaani ndiye Roho ya Timu unataka aisaliti timu yake iliyomlea aende wapi na anapewa kila kitu!!
M'musubiri England final j'pili.Ha ha asante
Hahaha kwa hiyo Eden hazard ni mlugaluga.Mwonekano wa Neymar tu mauzo yake ni double platnumz hapo bado hajaonesha skills zake , achana na hao walugaluga kina Hazard[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mashabiki wa madrid wasivyokuwa na uvumilivu, Neymer akileta hizo mbwembwe bila magoli, atakimbia bernabeu mwenyeweeHahaha ubishoo wake sindio wanautumia kibiashara zaidi.
Kuna vitu vichache akivifanyia kazi bwana mdogo Neymar atakuwa bora zaiidi. Mfano kutoa pasi mapema na kupunguza madoido mahali pasipo na ulazima.
Ndio,ndio.Mashabiki wa madrid wasivyokuwa na uvumilivu, Neymer akileta hizo mbwembwe bila magoli, atakimbia bernabeu mwenyewee
Mashabiki wa Barca haoLast summer ilianzishwa online poll na AS au MARCA if I'm not mistaken. 67% ya wapiga kura walitaka aondoke. Kama nafuatilia football ya Real Madrid positively, utagundua kwamba huu ni wakati mwafaka wa yeye kuondoka