Masamila
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 6,490
- 7,422
Imeniuma sana, ila hela alizidiwa na kila MTU, Neyma, Grizman, Messi..... Na Real hawakutaka ongeza dau maana umri umeenda
Hapana wewe, Ronaldo ziliwekwa hadharani nyaraka sababu ya kesi ya kodi sasa zile nyaraka zilikuwa zinaonyesha kwa mwaka Real Madrid wanamlipa around 19 million GBP ambayo inamaanisha anachukua 360,000 GBP na zaidi kidogo kwa wiki. Messi na Neymar sawa ila kwa Grienzmann hapana, Grienzmann kwa taarifa nilizosoma mshahara wake ni around 180,000 GBP kwa wiki