RASMI Ronaldo ahamia Juventus Turin

RASMI Ronaldo ahamia Juventus Turin

Imeniuma sana, ila hela alizidiwa na kila MTU, Neyma, Grizman, Messi..... Na Real hawakutaka ongeza dau maana umri umeenda

Hapana wewe, Ronaldo ziliwekwa hadharani nyaraka sababu ya kesi ya kodi sasa zile nyaraka zilikuwa zinaonyesha kwa mwaka Real Madrid wanamlipa around 19 million GBP ambayo inamaanisha anachukua 360,000 GBP na zaidi kidogo kwa wiki. Messi na Neymar sawa ila kwa Grienzmann hapana, Grienzmann kwa taarifa nilizosoma mshahara wake ni around 180,000 GBP kwa wiki
 
The god of modern football!! Ameanzia portugal, akaenda premiar legue akaenda tena la liga!! Sasa kaenda italy!!

Messi yupo tu hapo barca na hatak kutoka maana anajua akitoka amepotea kwenye raman ya mpira...

CR7
 
Kamkimbia La pulga
Messi anabebwa pale barca, hana ubavu wa kuama...

Cr7 kaanzia portugal, katua man u, kaenda real kote huko alikimbiza... Na sasa kaenda juve!!

Mwambie messi atoke hapo barca uene kama hatapotea kabisa...
tapatalk_1522833284291.jpeg
 
The god of modern football!! Ameanzia portugal, akaenda premiar legue akaenda tena la liga!! Sasa kaenda italy!!

Messi yupo tu hapo barca na hatak kutoka maana anajua akitoka amepotea kwenye raman ya mpira...

CR7
Tumia ubongo wako kufikiria.

Unataka messi atoke barca aende wapi?

Timu pekee yenye hadhi ya Messi ni barcelona au Real madrid na ni wazi kabisa hawezi enda Real madrid.

Huko Barcelona Messi amekulia tokea udogoni, analipwa mshahara anaoutaka unataka aende wapi sasa?

Messi ndio kila kitu Barca tofauti na Ronaldo, Messi ndiye mfungaji bora, messi ndiye mtoaji wa assist nyingi zaidi Barca, yaani ndiye Roho ya Timu unataka aisaliti timu yake iliyomlea aende wapi na anapewa kila kitu!!
 
Hahaha ubishoo wake sindio wanautumia kibiashara zaidi.

Kuna vitu vichache akivifanyia kazi bwana mdogo Neymar atakuwa bora zaiidi. Mfano kutoa pasi mapema na kupunguza madoido mahali pasipo na ulazima.
Mwonekano wa Neymar tu mauzo yake ni double platnumz hapo bado hajaonesha skills zake , achana na hao walugaluga kina Hazard[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Atoke akatafute nini?

Kombe?

Pesa?

Heshima?

Loyalty?

Hivi vyote anavipata pale Barcelona, Messi ni symbol na icon ya Barcelona

Loyalty ya Messi na CR7 kwa timu zao ni mbingu na ardhi na CR7 ameondoka Madrid sabb wamegoma kumpa mkataba mpya na hawawezi kumuongezea pesa

Messi ndio Barcelona na Barcelona ni Messi huwezi tenganisha hivi vitu viwili

Siku ukisikia ameondoka anaenda kuchezea Newell's old boys ya Argentina
 
Messi anabebwa pale barca, hana ubavu wa kuama...

Cr7 kaanzia portugal, katua man u, kaenda real kote huko alikimbiza... Na sasa kaenda juve!!

Mwambie messi atoke hapo barca uene kama hatapotea kabisa... View attachment 807003
Hana sabb ya kuondoka pale kama huyo Ronaldo aliyenyimwa nyongeza ya mkataba

Barcelona iko loyalty kwa Messi na yeye yuko loyalty kwa timu

Sasa aondoke akatafute nini ambacho hakipati pale Camp nou?
 
Tumia ubongo wako kufikiria.

Unataka messi atoke barca aende wapi?

Timu pekee yenye hadhi ya Messi ni barcelona au Real madrid na ni wazi kabisa hawezi enda Real madrid.

Huko Barcelona Messi amekulia tokea udogoni, analipwa mshahara anaoutaka unataka aende wapi sasa?

Messi ndio kila kitu Barca tofauti na Ronaldo, Messi ndiye mfungaji bora, messi ndiye mtoaji wa assist nyingi zaidi Barca, yaani ndiye Roho ya Timu unataka aisaliti timu yake iliyomlea aende wapi na anapewa kila kitu!!
Hawa pro Ronaldo hawawezi kuelewa, kama Cassilas mzawa wa pale Madrid aliondoka kama mbwa bila hata kuagwa kwahyo cr7 kunyimwa mkataba ni kawaida tu kitu ambacho kisingetokea kwa Xavi, INIESTA, Messi au Busquets

Wanataka Messi aondoke sijui akatafute nini ambacho hakipati pale Camp nou

Makombe?

Pesa?

Tuzo?

Heshima?

Loyalty?
 
Last summer ilianzishwa online poll na AS au MARCA if I'm not mistaken. 67% ya wapiga kura walitaka aondoke. Kama nafuatilia football ya Real Madrid positively, utagundua kwamba huu ni wakati mwafaka wa yeye kuondoka
 
Mwonekano wa Neymar tu mauzo yake ni double platnumz hapo bado hajaonesha skills zake , achana na hao walugaluga kina Hazard[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaha kwa hiyo Eden hazard ni mlugaluga.

Neymar ni biashara tosha bila hata ya kukanyaga nyasi bandia ukichanganya Amazing skills.

Kwa takwimu hazard kazidiwa karibia kila kitu na Neymar.

Wengine hudai hazard hajajiweka katika mvuto wa biashara.
 
Hahaha ubishoo wake sindio wanautumia kibiashara zaidi.

Kuna vitu vichache akivifanyia kazi bwana mdogo Neymar atakuwa bora zaiidi. Mfano kutoa pasi mapema na kupunguza madoido mahali pasipo na ulazima.
Mashabiki wa madrid wasivyokuwa na uvumilivu, Neymer akileta hizo mbwembwe bila magoli, atakimbia bernabeu mwenyewee
 
Last summer ilianzishwa online poll na AS au MARCA if I'm not mistaken. 67% ya wapiga kura walitaka aondoke. Kama nafuatilia football ya Real Madrid positively, utagundua kwamba huu ni wakati mwafaka wa yeye kuondoka
Mashabiki wa Barca hao
 
Back
Top Bottom