Sentensi yako ya mwisho ni jibu la yote.Hahaha kwa hiyo Eden hazard ni mlugaluga.
Neymar ni biashara tosha bila hata ya kukanyaga nyasi bandia ukichanganya Amazing skills.
Kwa takwimu hazard kazidiwa karibia kila kitu na Neymar.
Wengine hudai hazard hajajiweka katika mvuto wa biashara.