RASMI Ronaldo ahamia Juventus Turin

RASMI Ronaldo ahamia Juventus Turin

Hahaha kwa hiyo Eden hazard ni mlugaluga.

Neymar ni biashara tosha bila hata ya kukanyaga nyasi bandia ukichanganya Amazing skills.

Kwa takwimu hazard kazidiwa karibia kila kitu na Neymar.

Wengine hudai hazard hajajiweka katika mvuto wa biashara.
Sentensi yako ya mwisho ni jibu la yote.
 
Tumia ubongo wako kufikiria.

Unataka messi atoke barca aende wapi?

Timu pekee yenye hadhi ya Messi ni barcelona au Real madrid na ni wazi kabisa hawezi enda Real madrid.

Huko Barcelona Messi amekulia tokea udogoni, analipwa mshahara anaoutaka unataka aende wapi sasa?

Messi ndio kila kitu Barca tofauti na Ronaldo, Messi ndiye mfungaji bora, messi ndiye mtoaji wa assist nyingi zaidi Barca, yaani ndiye Roho ya Timu unataka aisaliti timu yake iliyomlea aende wapi na anapewa kila kitu!!
Ubora wa mwanajeshi unapimwa kwa vita alivyopigana... Ronaldo kapigana portugal, england, spain na sasa anaenda italy...

Vipi messi??
 
Mkuu unanizungumzia mimi
jamaa nilikua simpendi mm uyo, uwii yani nikiskia ronaldo natamani kutapika[emoji23]
alivyohamia madrid mimi saivi ni mfia ronaldo maana sio shabiki.. page zangu zimejaa ronaldo
ila pamoja na hayo nitaendelea kumsapoti akiwa juve
lakini nmeamua kubaki nyumbani Madrid.
Hahaaa,rafiki zangu pia ambao ni shabiki wa Arsenal na Chelsea walikuwa hawamkubali akiwa OT, lakini mpaka sasa ni shabiki wazuri sana wa Cr7.

Vipi Epl wewe huna klabu ya soka..?
 
Hahaaa,rafiki zangu pia ambao ni shabiki wa Arsenal na Chelsea walikuwa hawamkubali akiwa OT, lakini mpaka sasa ni shabiki wazuri sana wa Cr7.

Vipi Epl wewe huna klabu ya soka..?
si ndo kama rafiki zako nilikua nashabikia Arsenal
ila saivi huko Epl sina timu wala, ppte
mimi na La liga mimi na madrid kiasi ronaldo kahama siwezi kuhama madrid ila nitaendele a kumsapoti kwa mikono miwili Ronaldo nikitokea Madrid
 
Watu wanadai apunguze madoido ambayo wakati mwingine hayaleti faida ya ushindi wakati timu inataka ushindi kwa udi na uvumba.soka la sasa limeegemea kwenye goli ushindi na biashara zaiidi si burudani sana kama miongo ya nyuma.

Mimi pia ni moja ya watu/wadau wapenda soka la burudani,Gaucho,Neymar,Okocha,kipindi flani kwa "Quaresema" na kwa mbali zizzou zidane.
Karibuni uwanjani tushuhudie mechi ya mkoloni na Croatia....
Hata Mimi imeniuma Ronaldo kwenda juve hapo hata hajui kama Mimi ni shabiki wake
 
Neymar akitua madrid kutakuwa ushindani kati ya Messi na Neymar, La liga itanoga....Ronaldo kwa umri alionao anafaa kabisaaa kwenda Juve na atafanya vizuri sana, hasa wakielewana vizuri na Douglas Costa.
 
Hivi hako kapimbi kwanini kasiondoke Barca wamchukue Hazard achuane na Neymar akiwa Madrid ili elclassico inoge?[emoji53]
 
si ndo kama rafiki zako nilikua nashabikia Arsenal
ila saivi huko Epl sina timu wala, ppte
mimi na La liga mimi na madrid kiasi ronaldo kahama siwezi kuhama madrid ila nitaendele a kumsapoti kwa mikono miwili Ronaldo nikitokea Madrid
Safi sana. Lakini la liga si kipenzi cha watu wengi Africa mashariki na kati.

Utakuta wengi wanajazana katika mechi ya Barcelona vs Real Madrid/A.Madrid.
 
Karibuni uwanjani tushuhudie mechi ya mkoloni na Croatia....
Hata Mimi imeniuma Ronaldo kwenda juve hapo hata hajui kama Mimi ni shabiki wake
Ahsantee!!

Waingereza uwezo wao ulifika mwisho,Croatia walicheza vyema.
 
Safi sana. Lakini la liga si kipenzi cha watu wengi Africa mashariki na kati.

Utakuta wengi wanajazana katika mechi ya Barcelona vs Real Madrid/A.Madrid.
EPL ndio wanaangaliaga wengi
la Liga wakicheza Barca au Madrid
Lakini Barca na madrid ndio timu zenye washabiki wengi sana Ukanda huu naamini hivyo
 
EPL ndio wanaangaliaga wengi
la Liga wakicheza Barca au Madrid
Lakini Barca na madrid ndio timu zenye washabiki wengi sana Ukanda huu naamini hivyo
Hazina mashabiki wengi wa kuizidi Man U
 
Hahaha ubishoo wake sindio wanautumia kibiashara zaidi.

Kuna vitu vichache akivifanyia kazi bwana mdogo Neymar atakuwa bora zaiidi. Mfano kutoa pasi mapema na kupunguza madoido mahali pasipo na ulazima.

Na kujiangusha pia, tabia za kike hizo kamanda...Hazard and Dybala ni bora zaidi ya neimar.
 
Asilimia kubwa kule italy juve ndo imetawala karib muongo mzima huu,maana wamepata kombe non stop saba mfululizo,,mi naona anaemda kute geneza jina tu na akipata kombe aonekane nae wamo,ila ungeniambia anaenda inter/AC milan/ As Roma akapambane apate ubingwa ningemsifu lakin kwa juve miaka karib yte wanabeba tu aaaaaah ggggghhhhhhhh
 
Back
Top Bottom