RASMI Ronaldo ahamia Juventus Turin

RASMI Ronaldo ahamia Juventus Turin

ufalme kwa kigezo kipi sasa, ronaldo ana EURO messi hata copa america hajawahi hata kutwaa bado unasema huyu ni mfalme.

Mimi na wewe hatukumpa hicho cheo, wanaojuwa mpira zaidi yetu na mashabiki kote duniani na hata mashabiki wa ronaldo ndiyo wanamkubali na wanatambua kuwa huyu ni mfalme..sasa mimi na wewe wapi na wapi kiongozi 😀😀😀 sisi acha twendelee kunywa kahawa siku imepita
 
Asilimia kubwa kule italy juve ndo imetawala karib muongo mzima huu,maana wamepata kombe non stop saba mfululizo,,mi naona anaemda kute geneza jina tu na akipata kombe aonekane nae wamo,ila ungeniambia anaenda inter/AC milan/ As Roma akapambane apate ubingwa ningemsifu lakin kwa juve miaka karib yte wanabeba tu aaaaaah ggggghhhhhhhh

Alafu pale kuna majembe zaidi yake sasa tim kama timu itaachaje kuchukua makombe ya ndani! Kuna magician dybala pale atakuwa anamtengenezea tu anafunga..
 
hakuna ulilojibu hapa, wanaojua mpira hawampi mtu cheo kwa porojo bali mafanikio kutoka klabu mpaka timu ya taifa,
 
Nakuambia hivi mimi na wewe hatujui mpira...so tuwaachie wataalam wenye mpira wao...wao ndiyo wameamua iwe hivyo sembuse wewe member wa Jf unapinga 😀😀😀😀 vibaya hivyo mkuu, hata kama ni chuki lakini usipelekee kuuukataa ufalme wake...

  1. Messi
  2. Diego
  3. Puskas,Pele and Alfredo de stefano
  4. Cr7
  5. Zidane
 
Hapana mkuu..nikweli Messi yupo club kubwa duniani, so hawezi kwenda ligi yenye hadhi ndogo kama italy, na hata epl pia hakuna club yenye hadhi kwake. Ni hivyo katibu mkoa....
Tunachotaka atuthibitishie kama kweli kiwango ni chake au ni cha barca

Hata ivo alishakiri bila barca asingekua hapo alipo
 
Nakuambia hivi mimi na wewe hatujui mpira...so tuwaachie wataalam wenye mpira wao...wao ndiyo wameamua iwe hivyo sembuse wewe member wa Jf unapinga 😀😀😀😀 vibaya hivyo mkuu, hata kama ni chuki lakini usipelekee kuuukataa ufalme wake...

  1. Messi
  2. Diego
  3. Puskas,Pele and Alfredo de stefano
  4. Cr7
  5. Zidane
Wanaojua mpira huwapa ufalme wachezaji kwa mafanikio ya timu toka klabu mpaka timu ya taifa kitu ambacho mfalme wako hama kiasi cha kwamba alitaka kukimbia timu ya taifa.
1. Pele
2. Zidane
3. Maradona
4. Ronaldo
5. Messi
#takwimu_zinaongea
 
Nakuambia hivi mimi na wewe hatujui mpira...so tuwaachie wataalam wenye mpira wao...wao ndiyo wameamua iwe hivyo sembuse wewe member wa Jf unapinga 😀😀😀😀 vibaya hivyo mkuu, hata kama ni chuki lakini usipelekee kuuukataa ufalme wake...

  1. Messi
  2. Diego
  3. Puskas,Pele and Alfredo de stefano
  4. Cr7
  5. Zidane
fala
 
Asilimia kubwa kule italy juve ndo imetawala karib muongo mzima huu,maana wamepata kombe non stop saba mfululizo,,mi naona anaemda kute geneza jina tu na akipata kombe aonekane nae wamo,ila ungeniambia anaenda inter/AC milan/ As Roma akapambane apate ubingwa ningemsifu lakin kwa juve miaka karib yte wanabeba tu aaaaaah ggggghhhhhhhh
Ulitaka aje kuchezea jangwani?
 
Alafu pale kuna majembe zaidi yake sasa tim kama timu itaachaje kuchukua makombe ya ndani! Kuna magician dybala pale atakuwa anamtengenezea tu anafunga..

shabiki mavi ndiyo wewe sasa ,yaani paul dybala ni zaidi ya Ronaldo hebu kuwa serious bhasi ili tukutofautishe na nguruwe
BlackPanther
 
Back
Top Bottom