BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
ufalme kwa kigezo kipi sasa, ronaldo ana EURO messi hata copa america hajawahi hata kutwaa bado unasema huyu ni mfalme.
Mimi na wewe hatukumpa hicho cheo, wanaojuwa mpira zaidi yetu na mashabiki kote duniani na hata mashabiki wa ronaldo ndiyo wanamkubali na wanatambua kuwa huyu ni mfalme..sasa mimi na wewe wapi na wapi kiongozi 😀😀😀 sisi acha twendelee kunywa kahawa siku imepita