Hahaahahh bro unanivunja mbavu.[emoji38][emoji38][emoji38] Eti akili kubwa ni kuongea lugha ya kidhungu na kuiga tabia zao..
Mafuta ya Somalia.Baada ya USA kukataa kwamba Alshabab ni magaidi, Kongamano la uslama wa dunia la umoja wa mataifa limetoa Tamko hili la pamoja.
Kenya lazima ikome kuingilia nchi zingine na kuabudu Mabeberu..Damu za kdf zimemwagika bure..Mabeberu wapo sasa mbio kununua bahari la somalia kwa manufaa yao
Kenyatta- 0
Farmajo - 3
Mchezo ni dakika 90'
==============================
Kenyaβs bid to classify Shabaab a terrorist group fails
FRIDAY AUGUST 30 2019
Foreign Affairs Principal Secretary Macharia Kamau speaks about efforts to rescue the abducted Cuban doctors, at his Nairobi office on April 16, 2019. He wants more attention directed at vanquishing Al-Shabaab. PHOTO | FILE | NATION MEDIA GROUP
In Summary
ADVERTISEMENT
- Mr Kamau argued that Al-Shabaab is subverting the purpose of humanitarian aid by diverting it from civilians, an action no one should support.
- The bid to have Al-Shabaab listed as a terrorist group was initially resisted by the UK and the US when Kenya first fronted the proposal in 2014.
By AGGREY MUTAMBO
More by this Author
Earlier accusations that Kenya soldiers were involved in illegal charcoal trade in Somalia returned to haunt Nairobiβs bid to have militant group Al-Shabaab listed as a terrorist group.
On Thursday, Kenya was fuming after the UN Security Council rejected its proposal to place the group in the same league as Al-Qaeda and ISIS, with Somalia specifically lobbying against tighter sanctions against the militants.
βWe are disappointed because it seems unconscionable that any country, least of all a country that is in the UN Security Council, and that has lost its citizens in the terror attacks of Al-Shabaab, would not wish to see all necessary measures brought to bear on this hideous organisation,β Foreign Affairs Principal Secretary Macharia Kamau told the Nation.
Acknowledging βsurpriseβ at the decision, Mr Kamau said Kenya will continue to fight Al-Shabaab βusing all the means necessary and available to it, including the currently existing sanction regimes that we have fought for previously and that are in force within the UNSCV counterterrorism regimeβ.
CHARCOAL TRADE
The decision means Kenya and the region will continue to deal with Al-Shabaab using sanctions that were aimed at controlling civil conflict in Somalia, and not those meant to tackle terrorism, despite loopholes that could allow the militants to prosper.
RELATED STORIES
ADVERTISEMENT
Mr Abukar Dahir Osman, Somaliaβs permanent representative to the UN in New York, claimed that Al-Shabaab can be tamed through existing UN Security Council resolutions as long as there is regional cooperation.
β[We] urge [the] Kenyan government to implement existing Security Council Resolution 751 targeting AS [Al Shabaab], including the ban on illegal charcoal trade in Somalia, which is the lifeline of the AS to finance its operations in the region,β he wrote on his Twitter page on Wednesday night.
The bid to have Al-Shabaab listed as a terrorist group was initially resisted by the UK and the US when Kenya first fronted the proposal in 2014.
But the change of heart by Somalia, which supported Kenya in 2014, is likely to baffle the region.
SANCTIONS
The Somali envoy said Kenyaβs suggestion was βunjustifiedβ, suggesting that Kenya had failed to stop the illegal charcoal trade that was Al-Shabaabβs mainstay, alongside piracy.
He was referring to various UN Monitoring Group reports on Eritrea and Somalia, which said that the Kenya Defence Forces, who are part of the African Union Mission in Somalia, were collaborating with the militants to continue exporting charcoal using the port of Kismayu. Kenya has invariably denied the claim.
Kenya, Somalia, the US and several other countries have already declared Al-Shabaab a terrorist group.
This year, Kenya wanted the sanctions against the group elevated and listed under Security Council Resolution 1267 of 1999 (and amended several times to suit situations).
EMASCULATE
Mr Kamau argued that Al-Shabaab is subverting the purpose of humanitarian aid by diverting it from civilians, an action no one should support.
He argued that such listing could bring more international focus on Al-Shabaab, like the coalition that has fought and weakened ISIS, and limit the impact of Al-Shabaab through a blanket imposition of harsh sanctions.
Under resolution 1267, the group could still be banned from travelling, have its assets frozen and barred from receiving training or buying weapons from the open international market.
But it could also mean no humanitarian agency would be allowed to deal with them in areas they operate, and countries or organisations found flouting this could be penalised. This was strongly opposed by US lobby groups.
Acha kutoka mwenye mada, somo husika ni wazungu kuwageuka wakenya katika vita dhidi ya Alshabaab.Basi mbna magu ywaongea zezezeee km hajopendekezi kw wazungu...
Kingereza ni lugha ya kimataifa..mkubali mkatae lazima mtaongea tu...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama umeumwa na kingereza vumilia tu
Magu huongea hyo lugha ktk baadhi ya sehem tu.Basi mbna magu ywaongea zezezeee km hajopendekezi kw wazungu...
Kingereza ni lugha ya kimataifa..mkubali mkatae lazima mtaongea tu...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama umeumwa na kingereza vumilia tu
Members wa UN Security Council ni kina nani ? wote ni Wazungu ?Wazungu sio watu wa kuwaamini kabisa.
I agree, Its time we took a stand, if they can turn against us at such a time of need yet Kenyans have suffered so heavily under terror attacks starting from 1998 where Kenyans died for something we did not even know..If i was a Kenyan president this is what i would do to US camp Simba aimed at fighting shabab. Since stupid Murica is saying that Shabab are not a terrorist org, i would close camp simba since it has no use. The purpose of camp Simba is to fight terror yet Shabab is not a terrorist org so camp Simba has no purpose in this region since there is no terrorist org in this region. I would also limit American military access to Kenyan resources that are directed in fighting Shabab e.g airports and refuelling missions and so on since shabab is not a terrorist org. I would also limit our purchases of American weapons that were supposed to fight terror since Shabab is not a terrorist org. I would systematically ramp up purchase of Chinese and Russian weapons on condition that they recognise Shabab as a terrorist org. I would reduce military training from US and redirect it to Russia and China as long as they recognise Shabab as a terrorist org. In 2015 Shabab killed 150 innocent students at Garissa university. 67 people at westgate in 2013. 21 people in 2019 in Nairobi. Cummulatively more than a thousand Kenyans both civilians and soldiers have lost their lives fighting this terrorist org. I would not back down. But that is in my dreams. It will never happen. Kenya will accept this absurd decision and will allow America to do as it pleases.
We should not look back, focus on our interests without caring what these foreign states wantAcheni ushabik ambao hauna faida. Kwanza kabisa vikosi vya Kenya viliingia Somalia bila uungwaji mkono wa US na nchi za magharibi. Pili, mandate ya KDF kule Somalia ipo chini ya AMISOM ambayo ni official mission ya AU ndani ya Somalia. Waafrika tuna matatizo, watu wanashabikia maamuzi ambayo yanakinzana na msimamo wa AU. Kwa chuki zao wanaiangazia macho nchi ya Kenya, basi. Kauli kama hizi zinajaribu kuharamisha shughuli za nchi kadhaa ambazo zina vikosi vya kijeshi Somalia.
Ninyi mliwaunga mkono katika interests zao za kuzitawala na kukandamiza nchi za Africa, sasa hivi wanawageuka ktk kuwaunga mkono kwenye interests zenu za kupambana na Alshabaab.We should not look back, focus on our interests without caring what these foreign states want
Didn't you know all these before?, why you decided to push on, only to end up with terrible humiliation?.If alshabaab is declared a terrorist org.UN Funded NGOβs would incur costs of providing private security to its workers in Somalia. The UNSC would also be obligated to deploy peacekeepers to conflict zones where these NGOβs are operating in Somalia.
. The Americans who rallied behind these non-governmental organizations would lose billions of dollars of funding .Maybe it's inline with Trump's 'America first 'policy.Thats why they don't want to waste resources in somalia.
UNSC Declines Designating Shabaab Mujahideen a Terrorist Organization
Though an improbable event, the United Nations Security Council UNSC has declined to designate the Al-Qaeda branch in Somalia, Harakat Shabaab Mujahideen (HSM) as a terrorist organization 28th August 2019, under resolution 1267. The watershed event was a...intelligencebriefs.com
Akili kubwa Uhuru Kenyatta ameshindwa kuwa shawishi marekani, Uingereza na ufaransa kwamba Alshababu ni magaidi?Acheni ushabik ambao hauna faida. Kwanza kabisa vikosi vya Kenya viliingia Somalia bila uungwaji mkono wa US na nchi za magharibi. Pili, mandate ya KDF kule Somalia ipo chini ya AMISOM ambayo ni official mission ya AU ndani ya Somalia. Waafrika tuna matatizo, watu wanashabikia maamuzi ambayo yanakinzana na msimamo wa AU. Kwa chuki zao wanaiangazia macho nchi ya Kenya, basi. Kauli kama hizi zinajaribu kuharamisha shughuli za nchi kadhaa ambazo zina vikosi vya kijeshi Somalia.
Wakuu wazungu.Members wa UN Security Council ni kina nani ? wote ni Wazungu ?
Acha kutoka mwenye mada, somo husika ni wazungu kuwageuka wakenya katika vita dhidi ya Alshabaab.
Kama hujaelewa lugha wanayo tumia wamagharibi tena hasa USA utapata tabu sana kuumizi kichwa na utashangaa mbona hawa watu wasomi sana lakini kitu wanachokifanya hata mtu alieishia la saba afanyi ?.ngoja nikunong'oneze: kwanza kabisa ukiangalia UN vizur ilianzishwa kwa faida ya wamagharibi tu ,ila under cover ndio inaonekana kama vile chombo cha dunia nzima. Kile ni chombo chao cha kupitishia maazimio yao kwa maslai yao, na ukiangalia tena vizur unakuja kuona UN ni USA kwasababu kuna mda mwengine UN haiweki vikwazo anaweka US pekeyake vya upande mmoja mbona UN haina nguvu ya kuvidhoofisha kwasababu vya upande mmoja?. Napia UN ikiweka vikwazo UN anakua mtoa amli tu ila mtekelezaji wa vikwazo vya UN ni US . Sasa USA ukifanya kitu kina maslai kwake anfaidika na wewe basi hapo unakuwa unauwezo hata wa kuua shule nzima na wala sio gaidi. Neno gaidi kwa wamagharibi ni MPINGAJI WA MASLAI YAO tofauti unavyo elewa ww gaidi ni kuua raia wasio na hatia.Hivi ugaidi ni nini?, Unatakiwa ufanye nini ili uitwe gaidi?.
All shabab wamewahi kukiri kuhusika na mashambulizi ya 'kigaidi' kadhaa kama vile lile la uganda wakati wa kombe la dunia na kuua watu zaidi ya 60, garrisa university, Westgate n.k. je hayo hayatoshi kuwaweka katika kundi la magaidi?