Nadhani hii habari siyo mbaya kwa wenzetu Kenya tu, bali kwa Africa kwa ujumla na hasa Tanzania.
Al-shabab kutokuwa kwenye terrorist group ina maana hawana restrictions ya movement. Nikimaanisha wana intelligence hawata lazika kutoa report za kiusalama pale members wa Al-shabab wanapoingia nchi kama Tanzania, Ethiopia na hata Kenya.
Kwa maana hiyo, wanaweza ingia Tanzania au Kenya na kufanya tukio na hatutoweza laumu nchi yoyote kwa kuto share information za kiusalama. Maana tunajua watu kama Marekani wana technology kubwa zaidi ya kuwafuatilia. Hapo watakuwa wamejivua lawama.
They are playing a long game.
Naona kwa mbali kuwa haya ni maandalizi ya uchaguzi 2020. Tanzania tukimaliza uchaguzi salama 2020 basi hatutokuwa na machafuko milele.