Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Si mkulu amesema hakuna kupulizia dawa labda kugonga nyungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo ganj?Wee jamaa wewe,yaani kama nakuona vile duuh.corona imeleta mambo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sahihi. Hata kama ningekuwa mimi Rais wa Rwanda, Uganda, Kenya, Zambia, DRC, Malawi au Mozambique, ningefanya hivyo hivyo.
Jukumu la kwanza la Serikali yoyote Duniani inayowajibika kwa watu wake ni kulinda raia wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo hao madereva wana familia!Nashauri Madereva au wasafirishaji wote wa Tz wasitishe kusafirisha mizigo,magari yasiende kabisa hadi corona iishe. Hii itapunguza unyanyapaa toka kwa wanyarwanda,pia itaonyeaha umuhimu wetu kwao.
Ni ngumu kwao, alafu madereva wa tz na kenya wamewekwa kapu mojaNashauri Wanyarwanda na Waganda nao waanze kupitisha mizigo yao Mombasa.
watajuana wenyewe.kwanza magufuli na kagame ni wapwaNashauri Madereva au wasafirishaji wote wa Tz wasitishe kusafirisha mizigo,magari yasiende kabisa hadi corona iishe. Hii itapunguza unyanyapaa toka kwa wanyarwanda,pia itaonyeaha umuhimu wetu kwao.
Nimdona ksenye tv sasaivi, umoja wa wasafirisha mizigo wamwshasitisha kupeleka mizigo Rwanda hadi hali ikitengamaa. Nawapongeza.