Rasmi sasa Madereva wa malori wa Tanzania wanaishia mpakani, magari yanapulizwa dawa anachukua dereva wa Rwanda. Hatuaminiki tena

Rasmi sasa Madereva wa malori wa Tanzania wanaishia mpakani, magari yanapulizwa dawa anachukua dereva wa Rwanda. Hatuaminiki tena

Kwani mpaka leo maambukizi rwanda,kenya na uganda yamefikia wapi au vifo vimefikia wapi,mana sisi ambao hatukujilockdown inafahamika vifo ni vingapi na kesi kwa ujumla ni ngapi haya vipi wao.
 
Ni sahihi. Hata kama ningekuwa mimi Rais wa Rwanda, Uganda, Kenya, Zambia, DRC, Malawi au Mozambique, ningefanya hivyo hivyo.

Jukumu la kwanza la Serikali yoyote Duniani inayowajibika kwa watu wake ni kulinda raia wake.

Sent using Jamii Forums mobile app

Very right


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nashauri Madereva au wasafirishaji wote wa Tz wasitishe kusafirisha mizigo,magari yasiende kabisa hadi corona iishe. Hii itapunguza unyanyapaa toka kwa wanyarwanda,pia itaonyeaha umuhimu wetu kwao.
 
Qanapata shida sana pale rusumo,wananyang'anywa magari yao,escort ya polisi,kuwekwa karanteen,wakati wanyarwanda huku kwetu wana enjoy tu
 
Nashauri Wanyarwanda na Waganda nao waanze kupitisha mizigo yao Mombasa.
 
Ushauri unaotoa wewe mwenyewe.. unaita ni tetesi!!!...
 
Nimdona ksenye tv sasaivi, umoja wa wasafirisha mizigo wamwshasitisha kupeleka mizigo Rwanda hadi hali ikitengamaa. Nawapongeza.
 
hakuna siku hata moja landlocked country inaweza kushindana na nchi yenye access ya bahari, hasa ikizingatia antagonism kati ya kagame na m7 hadi walifungiana mipaka, kwa hiyo sasaivi Rwanda ipige magoti kwa uganda mizigo yao ipitishwe tokea Mombasa. wapo kiganjani mwetu.
 
Back
Top Bottom