Rasmi sasa NATO sebuleni mwa Urusi, Uturuki iliyokuwa inazingua yaachia Finland

China ni kibaraka wa Marekani wa chini chini, ipo siku na yeye atajiunga na NATO..
 
Finland siyo Ukraine, hizo silaha zake za Nuclear ambazo hata wenzake wanazo ataishia kupiga nazo picha tu.
 
Jinsi Putin anavyopenda kujitenga na wasaidizi wake kwa kukaa nao umbali wa maelfu ya Kilomita ni dalili wazi kwamba jamaa ni muoga mno wa kufa pamoja na stadi mbalimbali za kujilinda alizonazo.
 
Jinsi Putin anavyopenda kujitenga na wasaidizi wake kwa kukaa nao umbali wa maelfu ya Kilomita ni dalili wazi kwamba jamaa ni muoga mno wa kufa pamoja na stadi mbalimbali za kujilinda alizonazo.
Ndio kusema west washamjua Putin ni mdebwedo tu na mikwara mingi.
 
Dollar ishakua chechefu.
Europe nishati ya mtelemko hawana.
Umoja huo ushajifia,,,ukisikia kupishana na gari la mshahara,ndo huyo

Kama ulinzi mwenzie Uikrane anachezea kipigo, NATO unajiuliza wapoau la.
Unaishi Dunia hii au uko Dunia tofauti,Dollar imekua lini chefu chefu? Ngoja nikwambie ndugu yangu kuitoa Dollar kwenye mfumo wa malipo itachukua hata miaka 30,Kwa sababu zaidi 65% ya foreign reserve ya nchi nyingi ni Dollar the rest ndio unakuta madini na fedha nyingine kama Euro,Pound,Yen au Yuan ya kichina.Hakuna nchi inaweza hatarishi uchumi wake Kwa kuiangamiza Dollar ghafla,ndio maana hata mrusi mwenye kakumbatia Dollar kama mtoto mchanga pamoja na kutoipenda.Warusi hawarusiwa kutoa nje ya Urusi kiwango kinachozidi Dollar 10000.
 
Hawa pro-russia mahaba kwa Putin yamewazidi hadi wanapoteza uwezo wa kufikiri sawa sawa.
 
Unapinga halafu unakubali itachukua miaka 30 dola kupotea kwenye mfumo.
Ha haaaa.
 
Ndaro zake kwisha alisema Finland wakijiunga NATO atashambulia kitovu cha Ulaya sasa hiyo ni kuonyeshwa kwamba hana uwezo wowote na akijaribu tu atashuhudia vumbi
 
Bado una imani kuwa NATO wana uwezo wa kupanga mkono na Russia...kumbuka NATO wanatolewa kinyesi na Wagner Group
Mkuu toka uliposikia Wagner wako Bakhmut wanautaka huu kamji kadogo je umewahi sikia Bakhmut ipo chini ya russia? kazi inaendelea hem fuatilia jana juzi mpaka mjomba wako putin ametangaza kuongeza wanajeshi bakhmut ivi bado hujapa jibu tu? wanaliwa vichwa jamaa zako
 
Kwa hiyo alijua kuwa atakimbizwa kutokea Kyiv?

Alijua Askari wake watakufa au kuumia kwa maelfu?

Alijua vifaru vyake vitaharibiwa hadi achukue vya mwaka 50?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Hapo NATO kuna mataifa yenye uwezo wa kuigaragaza Urusi bila hata ya kutegemea muungano wowote, yaani Urusi hii ambayo imeteswa na kataifa jirani, wameishiwa hadi hata JWTZ ikijitutumua inawafumua leo, walichosalia nacho ni manyuklia tu.
Uwape vijana wetu tunaowanoa msata na Ngerengere A47, Hand Grenades n.k kisha Mrusi aweke Hypersonic pembeni na Nuclear, Russia hachomoki mkuu.
 
Tusubiri tuone SMO ikihamia Finland ...
 
Mwaka wa 5 sasa huu Urusi bado ana henyeshwa tu uko bakhmut mpaka kumalizika hivi vita warusi wengi watakufa kwa utapiamlo ,kifaduro & kifafa
 
Tusubiri tuone SMO ikihamia Finland ...

Bendera imesimikwa tayari, hapo hawezi hata kujifanya anajikuna...https://www.jamiiforums.com/threads/bendera-ya-finland-kusimikwa-leo-nje-ya-ofisi-za-nato.2082543/#post-45911387
 
Ile battle ya kyiv naamin kuna siku miaka ya mbeleni tutakuja kuicheza kwenye games za Battlefield au Call of Duty.

Mrusi alipambana saana hapo ila akatoka mweupe. Angekuwa na akili, palepale angesitisha vita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…