Rasmi sasa NATO sebuleni mwa Urusi, Uturuki iliyokuwa inazingua yaachia Finland

Rasmi sasa NATO sebuleni mwa Urusi, Uturuki iliyokuwa inazingua yaachia Finland

Mtaandika hizi nadharia na insha lakini ndio ashaliwa hivyo, kiukweli NATO ilikua imefifia ila kaipa muamka mpya kwa ujinga alioufanya, ameangukia pua, sasa kila taifa linataka kujiunga NATO kuepuka kunyanyaswa na Urusi, yaani Putin anaisababisha nchi yake kubaki mpweke na kuonwa kama shetwani, halafu Mchina anaifyonza Urusi hadi mifupa.
China ni kibaraka wa Marekani wa chini chini, ipo siku na yeye atajiunga na NATO..
 
Mkuu usitegemee hilo! Itachukua miaka mingi kwa US na NATO kufikia lengo hilo. Kutokana na hilo sasa tegemea Russia kuweka Silaha za Nuklia za kutosha kwenye mpaka wake na Finland.
Russia siyo Iraq,wala siyo Afghanstan,wala siyo Libya,wala siyo Yugoslavia,nk
Finland siyo Ukraine, hizo silaha zake za Nuclear ambazo hata wenzake wanazo ataishia kupiga nazo picha tu.
 
Kuna mwanadiplomasia mmoja wa usa alitoa uchambuzi wake kuhusu Putin kutumia nukes.

Alisema kwa kiongozi aina ya Putin ambaye hutumia meza ndeeeeeefu kwenye mazungumzo kujitenga na anayezungumza nae kama ishara ya kuogopa maambukizi au kifo......haoni kama Putin ataweza kutumia nukes zaidi ya mikwara tu.

Hapa alimaanisha kwamba hata yy Putin anajua madhara ya nukes kwa nchi yake, once anaamua kutumia nukes na wenzake wata respond accordingly hivyo kupelekea Taifa lake kuangamia.

Sasa Kama covid tu unaiogopa vile vp nukes iliyoboreshwa ikitua chumbani kwako?
Jinsi Putin anavyopenda kujitenga na wasaidizi wake kwa kukaa nao umbali wa maelfu ya Kilomita ni dalili wazi kwamba jamaa ni muoga mno wa kufa pamoja na stadi mbalimbali za kujilinda alizonazo.
 
Jinsi Putin anavyopenda kujitenga na wasaidizi wake kwa kukaa nao umbali wa maelfu ya Kilomita ni dalili wazi kwamba jamaa ni muoga mno wa kufa pamoja na stadi mbalimbali za kujilinda alizonazo.
Ndio kusema west washamjua Putin ni mdebwedo tu na mikwara mingi.
 
Dollar ishakua chechefu.
Europe nishati ya mtelemko hawana.
Umoja huo ushajifia,,,ukisikia kupishana na gari la mshahara,ndo huyo

Kama ulinzi mwenzie Uikrane anachezea kipigo, NATO unajiuliza wapoau la.
Unaishi Dunia hii au uko Dunia tofauti,Dollar imekua lini chefu chefu? Ngoja nikwambie ndugu yangu kuitoa Dollar kwenye mfumo wa malipo itachukua hata miaka 30,Kwa sababu zaidi 65% ya foreign reserve ya nchi nyingi ni Dollar the rest ndio unakuta madini na fedha nyingine kama Euro,Pound,Yen au Yuan ya kichina.Hakuna nchi inaweza hatarishi uchumi wake Kwa kuiangamiza Dollar ghafla,ndio maana hata mrusi mwenye kakumbatia Dollar kama mtoto mchanga pamoja na kutoipenda.Warusi hawarusiwa kutoa nje ya Urusi kiwango kinachozidi Dollar 10000.
 
Hawa pro-russia mahaba kwa Putin yamewazidi hadi wanapoteza uwezo wa kufikiri sawa sawa.
 
Unaishi Dunia hii au uko Dunia tofauti,Dollar imekua lini chefu chefu? Ngoja nikwambie ndugu yangu kuitoa Dollar kwenye mfumo wa malipo itachukua hata miaka 30,Kwa sababu zaidi 65% ya foreign reserve ya nchi nyingi ni Dollar the rest ndio unakuta madini na fedha nyingine kama Euro,Pound,Yen au Yuan ya kichina.Hakuna nchi inaweza hatarishi uchumi wake Kwa kuiangamiza Dollar ghafla,ndio maana hata mrusi mwenye kakumbatia Dollar kama mtoto mchanga pamoja na kutoipenda.Warusi hawarusiwa kutoa nje ya Urusi kiwango kinachozidi Dollar 10000.
Unapinga halafu unakubali itachukua miaka 30 dola kupotea kwenye mfumo.
Ha haaaa.
 
Uturuki ilikuwa inazingua hadi wengi tukawa tunajiuliza ipo kwa maslahi ya nani, wengi walishuku itakuwa kiaina misimamo yao inaongozwa kidini dhidi ya Marekani kimya kimya.

Hatimaye wameachia, Finland sasa inaelekea kuwa mwanachama wa NATO, ikumbukwe urefu wa mpaka wa Finland na Urusi ni kilomita 1,340km yaani hapo ni kama kutokea Dar mpaka kwa Kagame nyumbani, au Dar hadi unapitiliza Kigoma.

Urusi ilijaribu kuparamia Ukraine kisa hao Ukraine walionyesha dalili za kujiunga NATO, eti Urusi haikutaka kujongelewa na NATO, haya sasa NATO inapumulia shingoni, mgongoni, makalio na mpaka miguu ya Urusi....eat that waumini wa Putin...mliyataka wenyewe....mngetulia hayangefika huku...kama vipi bonyezeni vitufe vya nyuklia muone mtakavyofutwa
===============

Late Thursday night, Turkey's Parliament ratified the protocol on Finland's accession to the Atlantic Alliance, which means that Helsinki now has the approval of all NATO allies.

After an intense session in the Turkish Grand National Assembly that lasted for hours, well into the night, Turkish parliamentarians gave the 'green light' to Finland's accession to NATO, the Anadolu news agency reported.

With this vote and following similar steps taken earlier this week by the Hungarian Parliament, Finland has now received the favorable vote of all the member states of the Atlantic Alliance, which places the Scandinavian country on the doorstep of joining the bloc.

Once all Alliance members and candidates have approved the accession protocols, the approved documents must be sent to the United States, where they are deposited with the government. The applicant country only becomes a NATO member when Washington has all the documents.

Ndaro zake kwisha alisema Finland wakijiunga NATO atashambulia kitovu cha Ulaya sasa hiyo ni kuonyeshwa kwamba hana uwezo wowote na akijaribu tu atashuhudia vumbi
 
Bado una imani kuwa NATO wana uwezo wa kupanga mkono na Russia...kumbuka NATO wanatolewa kinyesi na Wagner Group
Mkuu toka uliposikia Wagner wako Bakhmut wanautaka huu kamji kadogo je umewahi sikia Bakhmut ipo chini ya russia? kazi inaendelea hem fuatilia jana juzi mpaka mjomba wako putin ametangaza kuongeza wanajeshi bakhmut ivi bado hujapa jibu tu? wanaliwa vichwa jamaa zako
 
Niseme tu kuwa kila kitu Urusi inachofanya ni calculated. Hata kuivamia Ukraine ilikuwa calculated. Mnadhani kwa nini Urusi hakuivamia Ukraine hapo awali hadi kavamia sasa. Haya yote aliyajua na alijiandaa kukabiliana nayo kisawasawa. Hata misaada anayopewa Ukraine Urusi alijua kabla kuwa akivamia tu lazima NATO itamuunga mkono Ukraine indirectly. Ndiyo maana mwanzo Urusi ilivamia Ukraine kwa kasi kabla ya Ukraine haijapokea hiyo misaada bahati mbaya ile meli yake ya Kisoviet ilipozama ndiyo akaamua apunguze mashambulizi na malengo.

Na hadi leo Urusi hajatumuia kiasi kikubwa cha tekinolojia yake ya juu sababu anajua mwanzo na mwisho wa vita hii. Na Ndiyo maana hujaskia kuwa Warusi wanakufa na njaa au Urusi imeomba msaada wa chakula kwa ajili ya watu wake mbali na kuwekewa vikwazo lukuki. Maana yake ni kuwa Mrusi anajua alichokianzisha na anajua jinsi atakavyo maliza mission hii.

Km NATO itaingia moja kwa moja ktk vita hii basi hii vita itajulikana mwisho wake mapema maana ni dhahiri itakuwa WWW3. Sasa hapo unategemea nini km siyo kuomba tu Mungu atunusuru. NATO Ina nchi nyingi lakini baadhi yake uchumi na sayansi yake ni ndogo lakini Russia ana backups ya nchi chache lakini uchumi wake na sayansi yake iko juu. Hapo sasa.
Kwa hiyo alijua kuwa atakimbizwa kutokea Kyiv?

Alijua Askari wake watakufa au kuumia kwa maelfu?

Alijua vifaru vyake vitaharibiwa hadi achukue vya mwaka 50?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Hapo NATO kuna mataifa yenye uwezo wa kuigaragaza Urusi bila hata ya kutegemea muungano wowote, yaani Urusi hii ambayo imeteswa na kataifa jirani, wameishiwa hadi hata JWTZ ikijitutumua inawafumua leo, walichosalia nacho ni manyuklia tu.
Uwape vijana wetu tunaowanoa msata na Ngerengere A47, Hand Grenades n.k kisha Mrusi aweke Hypersonic pembeni na Nuclear, Russia hachomoki mkuu.
 
Uturuki ilikuwa inazingua hadi wengi tukawa tunajiuliza ipo kwa maslahi ya nani, wengi walishuku itakuwa kiaina misimamo yao inaongozwa kidini dhidi ya Marekani kimya kimya.

Hatimaye wameachia, Finland sasa inaelekea kuwa mwanachama wa NATO, ikumbukwe urefu wa mpaka wa Finland na Urusi ni kilomita 1,340km yaani hapo ni kama kutokea Dar mpaka kwa Kagame nyumbani, au Dar hadi unapitiliza Kigoma.

Urusi ilijaribu kuparamia Ukraine kisa hao Ukraine walionyesha dalili za kujiunga NATO, eti Urusi haikutaka kujongelewa na NATO, haya sasa NATO inapumulia shingoni, mgongoni, makalio na mpaka miguu ya Urusi....eat that waumini wa Putin...mliyataka wenyewe....mngetulia hayangefika huku...kama vipi bonyezeni vitufe vya nyuklia muone mtakavyofutwa
===============

Late Thursday night, Turkey's Parliament ratified the protocol on Finland's accession to the Atlantic Alliance, which means that Helsinki now has the approval of all NATO allies.

After an intense session in the Turkish Grand National Assembly that lasted for hours, well into the night, Turkish parliamentarians gave the 'green light' to Finland's accession to NATO, the Anadolu news agency reported.

With this vote and following similar steps taken earlier this week by the Hungarian Parliament, Finland has now received the favorable vote of all the member states of the Atlantic Alliance, which places the Scandinavian country on the doorstep of joining the bloc.

Once all Alliance members and candidates have approved the accession protocols, the approved documents must be sent to the United States, where they are deposited with the government. The applicant country only becomes a NATO member when Washington has all the documents.

Tusubiri tuone SMO ikihamia Finland ...
 
Mwaka wa 5 sasa huu Urusi bado ana henyeshwa tu uko bakhmut mpaka kumalizika hivi vita warusi wengi watakufa kwa utapiamlo ,kifaduro & kifafa
 
Tusubiri tuone SMO ikihamia Finland ...

Bendera imesimikwa tayari, hapo hawezi hata kujifanya anajikuna...https://www.jamiiforums.com/threads/bendera-ya-finland-kusimikwa-leo-nje-ya-ofisi-za-nato.2082543/#post-45911387
 
Nahisi kama umekumbwa na mahaba, mwanzo umeanza kama GT but ukaingiza mahaba ndo tatizo lenu wabongo ndio maana hamuendelei kimaendeleo

Teknolojia hipi hiyo mrusi hajatumia Ukraine? Meli ilizamishwa kwa makombora ya Ukraine sio kwamba ilizama sema ilipigwa makombora

Urusi walitumia nguvu kubwa pasipo mahesabu, walihisi wangefika Kyiv kwa siku 3 au wiki but walijikuta Kyiv ni maji marefu kwao

Urusi hasara kubwa sana wamepata mwanzoni mwa vita, na hii ni kutokana na kudharau Kyiv na kudhani yale mikwara mbuzi itawaogopesha Magharibi kuarmy Kyiv ili wamuachie afanye anachotaka Putin there

Vita ni mahesabu lakini hesabu walizopiga warusi hazikuwa sahihi kwao sawa, so unapoamua kuwa mchambuzi mahaba weka pembeni ili uwe mchambuzi anaeleweka kwa wote ok
Ile battle ya kyiv naamin kuna siku miaka ya mbeleni tutakuja kuicheza kwenye games za Battlefield au Call of Duty.

Mrusi alipambana saana hapo ila akatoka mweupe. Angekuwa na akili, palepale angesitisha vita.
 
Back
Top Bottom