Rasmi sasa nimejiondoa katika biashara ya foreign exchange (forex)

Rasmi sasa nimejiondoa katika biashara ya foreign exchange (forex)

Mlimani health center

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2021
Posts
595
Reaction score
1,490
Baada ya muda mrefu wa kukomaa na candlestick na video za YouTube rasmi nimejitoa kwenye biashara hii ya forex.

Lengo la uzi huu ni kuwakaribisha newbie kwenye hii biashara ya forex inayosadikika kuwa na utajiri mkubwa sana. Kama yupo yoyote ambae angependa kuanza biashara hii anichek niweze kushare nae important pdfs kuhusu forex na useful YouTube channels zenye material ya forex.

Mwisho kabisa nipende kuwatia moyo wote ambao n ndoto yenu kuprint pesa nyingi kupitia biashara hii kwamba forex is real na sio scam kama inavyosemekana uko mitaani.

Nawasalisha
Wako katika ujenzi wa taifa
Labia majora
 
Tupe sababu ya kujiondoa mkuu na sisi tujiondoe

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Forex haitak uwe na pesa za kubangaiza .kwa mtazamo wangu mimi kutokana na experience yangu katika soko kwa zaid ya miaka 6 nimegundua ni ngumu forex kukuendeshea maisha kwa asilimia 100 kwaiyo kwa sasa nimekaa pemben nitafute ajira yenye constant flow of salary
 
Baada ya muda mrefu wa kukomaa na candlestick na video za YouTube rasmi nimejitoa kwenye biashara hii ya forex
Sio njia sahihiya kujifunza | Na hili nililitambua miaka michache iliyopita, Kiufupi nilianza kama wewe
Kama yupo yoyote ambae angependa kuanza biashara hii anichek niweze kushare nae important pdfs kuhusu forex na useful YouTube channels zenye material ya forex
Hili ni moja ya kosa kubwa ambalo tunalifanya, tunajijaza taarifa nyingi zisizo na tija kwenye Real Live market situation
kupitia biashara hii kwamba forex is real na sio scam kama inavyosemekana uko mitaani
Uko sahihi, Na hii hapa chini ni screenshot ya trade yangu ya kwanza siku ya leo
1681372147720.png

Pair | GBPCHF

Angalia

  • Entry price
  • Angalie Exit price
Utagundua mchawi kwenye FX ni entry na exit, Na ukiwa na tools sahihi za kukuwezesha kubaini entry na exit basi hapo tayari umetoboa
 
Sio njia sahihiya kujifunza | Na hili nililitambua miaka michache iliyopita, Kiufupi nilianza kama wewe

Hili ni moja ya kosa kubwa ambalo tunalifanya, tunajijaza taarifa nyingi zisizo na tija kwenye Real Live market situation

Uko sahihi, Na hii hapa chini ni screenshot ya trade yangu ya kwanza siku ya leo
View attachment 2586202
Pair | GBPCHF

Angalia

  • Entry price
  • Angalie Exit price
Utagundua mchawi kwenye FX ni entry na exit, Na ukiwa na tools sahihi za kukuwezesha kubaini entry na exit basi hapo tayari umetoboa
Hongera boss ila note kwamba 99% of tredaz are loosers
 
Sio njia sahihiya kujifunza | Na hili nililitambua miaka michache iliyopita, Kiufupi nilianza kama wewe

Hili ni moja ya kosa kubwa ambalo tunalifanya, tunajijaza taarifa nyingi zisizo na tija kwenye Real Live market situation

Uko sahihi, Na hii hapa chini ni screenshot ya trade yangu ya kwanza siku ya leo
View attachment 2586202
Pair | GBPCHF

Angalia

  • Entry price
  • Angalie Exit price
Utagundua mchawi kwenye FX ni entry na exit, Na ukiwa na tools sahihi za kukuwezesha kubaini entry na exit basi hapo tayari umetoboa
Strategy gan unatumia mkuu?
 
Back
Top Bottom