Rasmi sasa nimejiondoa katika biashara ya foreign exchange (forex)

Rasmi sasa nimejiondoa katika biashara ya foreign exchange (forex)

Fungua m15 chart | CADJPY, CADCHF |
Update
1681373342972.png

CADCHF inaikaribia TP

Nilitoa hii signal kwenye channel yangu.
1681373427527.png

Napia nilipost hapa | Only Live Trades

1681373526527.png

=
1681373664565.png
 
Baada ya muda mrefu wa kukomaa na candlestick na video za YouTube rasmi nimejitoa kwenye biashara hii ya forex.

Lengo la uzi huu ni kuwakaribisha newbie kwenye hii biashara ya forex inayosadikika kuwa na utajiri mkubwa sana. Kama yupo yoyote ambae angependa kuanza biashara hii anichek niweze kushare nae important pdfs kuhusu forex na useful YouTube channels zenye material ya forex.

Mwisho kabisa nipende kuwatia moyo wote ambao n ndoto yenu kuprint pesa nyingi kupitia biashara hii kwamba forex is real na sio scam kama inavyosemekana uko mitaani.

Nawasalisha
Wako katika ujenzi wa taifa
Labia majora
Mkuu kama wewe imekuchomoa, unataka mfundisha nini newbie ? Au wewe hupendi pesa na utajiri 😅😅😅
 
Forex haitak uwe na pesa za kubangaiza .kwa mtazamo wangu mimi kutokana na experience yangu katika soko kwa zaid ya miaka 6 nimegundua ni ngumu forex kukuendeshea maisha kwa asilimia 100 kwaiyo kwa sasa nimekaa pemben nitafute ajira yenye constant flow of salary
miaka sita hukuelewa kitu tu mkuu ? Pole.. acha wibishi tuendelee kumpasua broker
 
Baada ya muda mrefu wa kukomaa na candlestick na video za YouTube rasmi nimejitoa kwenye biashara hii ya forex.

Lengo la uzi huu ni kuwakaribisha newbie kwenye hii biashara ya forex inayosadikika kuwa na utajiri mkubwa sana. Kama yupo yoyote ambae angependa kuanza biashara hii anichek niweze kushare nae important pdfs kuhusu forex na useful YouTube channels zenye material ya forex.

Mwisho kabisa nipende kuwatia moyo wote ambao n ndoto yenu kuprint pesa nyingi kupitia biashara hii kwamba forex is real na sio scam kama inavyosemekana uko mitaani.

Nawasalisha
Wako katika ujenzi wa taifa
Labia majora
kuna mshkaji anaitwa giants logical trading,Msumba fx,ama pips storm ushawahi kucheki elimu zao
 
Back
Top Bottom