Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You ain't serious dude. How can you waste the whole freaking day in order to gain 20$ to lose it and more the following days. It doesn't make sense at all.Jaman msiache mbona ni tamu Sana hela ya fx yaan mim nainjoy nafanya Kama kazi zingine usiwaze kutajirikia ije automatic hata ukikunja $20 kwa siku it worth it
Nakyaminia mkuu.Sio njia sahihiya kujifunza | Na hili nililitambua miaka michache iliyopita, Kiufupi nilianza kama wewe
Hili ni moja ya kosa kubwa ambalo tunalifanya, tunajijaza taarifa nyingi zisizo na tija kwenye Real Live market situation
Uko sahihi, Na hii hapa chini ni screenshot ya trade yangu ya kwanza siku ya leo
View attachment 2586202
Pair | GBPCHF
Angalia
Utagundua mchawi kwenye FX ni entry na exit, Na ukiwa na tools sahihi za kukuwezesha kubaini entry na exit basi hapo tayari umetoboa
- Entry price
- Angalie Exit price
Kwanini uliamua kujiita Labia Majora[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Baada ya muda mrefu wa kukomaa na candlestick na video za YouTube rasmi nimejitoa kwenye biashara hii ya forex.
Lengo la uzi huu ni kuwakaribisha newbie kwenye hii biashara ya forex inayosadikika kuwa na utajiri mkubwa sana. Kama yupo yoyote ambae angependa kuanza biashara hii anichek niweze kushare nae important pdfs kuhusu forex na useful YouTube channels zenye material ya forex.
Mwisho kabisa nipende kuwatia moyo wote ambao n ndoto yenu kuprint pesa nyingi kupitia biashara hii kwamba forex is real na sio scam kama inavyosemekana uko mitaani.
Nawasalisha
Wako katika ujenzi wa taifa
Labia majora
[emoji23][emoji23]kwahiyo miaka 6 ulikubali ku bet !Itoshe kusema forex n kama kubet tu tena kubet kunaweza kiwa rahis kuliko folexi
Hahahaha kuwa jobless nayo n kazi miss wangu[emoji23][emoji23]kwahiyo miaka 6 ulikubali ku bet !
Watu wanaamka alfajiri na mapema kusaka malipo ya 10$ dollars per day na wamechomekea ma suti safi na huko ofisini full majungu na uchawi tu..You ain't serious dude. How can you waste the whole freaking day in order to gain 20$ to lose it and more the following days. It doesn't make sense at all.
Sasa mkuu huoni kuwa hyo biashara bila kuwa na mtaji mkubwa unafeli? Umesema umeanza mwaka Jana mwishoni had saiv ushatoa Dola 100 tu, biashara gan hyo unatengeneza laki 2 Kwa miez yote hyo utakula nn? Si bora uchome hata chips mkuu , halafu ulianza na Dola 6, kwenye forex au you serious?nilianza mwaka jana mwezi wa kumi nilianza kutrade na usd 6 sasa nipo na usd300 ukijumlisha na ambazo nimetoa kama usd 100 hivi
That's you bro for me it works and I am sure of collecting $$$ every 30 days am not greedy I once been there where you were. I decided to change and everything is working now am not angry with my self now...You ain't serious dude. How can you waste the whole freaking day in order to gain 20$ to lose it and more the following days. It doesn't make sense at all.
Mtu anadharau hio lakin ukikusanya per week ni zaidi ya laki 2 familia Ina kula ugali maisha ya kawaida tu Kuna una ubaya gan kuli kutaka trade moja ikupe dola 20 hio ndio gambling Kama haiendani na mtaji.Watu wanaamka alfajiri na mapema kusaka malipo ya 10$ dollars per day na wamechomekea ma suti safi na huko ofisini full majungu na uchawi tu..
in my perspective its better to learn the game and master it.. ukiweza kuwa consinstent with 20$ a day kwa mwaka naamini utakuwa na uwezo wa kukua zaidi siku za mbele..
Tatizo mitaji tu na tamaa za wabongo ndo zinatufelisha yani serous eti mtu unataka kunake life in forex af mtaji wa kujifunzia umeweka dollar 6
Yap mtaji uendane na strategy pia... tamaa tu na lack of discpline ndo tatizo letu tunaingia kimhemko.. watu wapo serious na hii kitu wanaendesha maisha tu ila huwezi kuta wanapiga makelele humu about fxMtu anadharau hio lakin ukikusanya per week ni zaidi ya laki 2 familia Ina kula ugali maisha ya kawaida tu Kuna una ubaya gan kuli kutaka trade moja ikupe dola 20 hio ndio gambling Kama haiendani na mtaji.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwalimu alitaka kula vichwa...ghafla hali ikabadilika ikabidi asepe[emoji28]
Duh!..Forex haitak uwe na pesa za kubangaiza .kwa mtazamo wangu mimi kutokana na experience yangu katika soko kwa zaid ya miaka 6 nimegundua ni ngumu forex kukuendeshea maisha kwa asilimia 100 kwaiyo kwa sasa nimekaa pemben nitafute ajira yenye constant flow of salary