Rasmi sasa nimejiondoa katika biashara ya foreign exchange (forex)

Rasmi sasa nimejiondoa katika biashara ya foreign exchange (forex)

Baada ya muda mrefu wa kukomaa na candlestick na video za YouTube rasmi nimejitoa kwenye biashara hii ya forex.

Lengo la uzi huu ni kuwakaribisha newbie kwenye hii biashara ya forex inayosadikika kuwa na utajiri mkubwa sana. Kama yupo yoyote ambae angependa kuanza biashara hii anichek niweze kushare nae important pdfs kuhusu forex na useful YouTube channels zenye material ya forex.

Mwisho kabisa nipende kuwatia moyo wote ambao n ndoto yenu kuprint pesa nyingi kupitia biashara hii kwamba forex is real na sio scam kama inavyosemekana uko mitaani.

Nawasalisha
Wako katika ujenzi wa taifa
Labia majora
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sizitaki mbichi hizi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wazee wa ma stratergies
04a60cf5b25b46799a2e621256880523.jpg
 
Baada ya muda mrefu wa kukomaa na candlestick na video za YouTube rasmi nimejitoa kwenye biashara hii ya forex.
To succeed in the forex market, it's important to approach it like a programmer. Using an Expert Advisor (EA) can help you identify valid entry signals and make informed trading decisions.

- My gift | I will code your EAs and Indicators for no charge

Nimetengeneza EA na nimetoa bure kwa alie request
  • Best Pair | Liquid one like GBPUSD, EURUSD, USDJPY
  • Best session to set the EA | London / NY session
EA files | Ingia FF na download files za EA husika. .ex4 file hazikubali hapa JF
EA_signal.PNG


Aqua Line | Valid BUY signal | EA will open BUY
Yellow Line | Valid SELL signal | EA will open SELL
White Line / Square box | Invalid Signal | No Trade
=
By default, the SL and TP are set to 35 pips (but can be changed). If the signal changes before hitting TP, the EA will close the trade and open a new opposite trade, Only if the signal is VALID.

I have added NON_LAG_MA set to H1 to filter and reduce bad signals from the MA_BANDS indicator. For the default EA settings, it is recommended to use a chart timeframe of M5 (although M15 can also be used). However, you can change the NON_LAG_MA timeframe and use a higher timeframe like H4 or Daily.
=
openTradeLTCUSD.PNG

=
EA_code.PNG

Code:
https://www.forexfactory.com/thread/post/14432265#post14432265
1684646038360.png

Kubeti ni vigumu kwa sababu prediction ni nyingi. Forex prediction ni mbili tu buy/sell
Na hii kazi ya BUY SELL tunaiachia EA kufanya bada ya kuipa conditions za BUY or SELL
=
May 22 | I have upload new EA | I will code your EAs and Indicators for no charge | Download on this post
 
Many have head to trade but don't have stomach to trade. Yaani maarifa watu wanayo kibao Ila kumeki mane Trading isn't about knowledge. Na ndio Mana wenye knowledge wanaomiliki channel wanafundisha wanauza signals maisha yanaenda.
The real trader don't have time to waste or to talk.
Failures, suckers and losers end up teaching, writing books, mentoring etc Ila real traders anakomaa na market Basi Hana story zingine. Watu ndio wanaomtafuta na yeye hatafuti watu
Mentor kaja kusaka vichwa kwenye huu uzi waambieni vijana ukwel fx sio mgod wa pesa kama ambavyo wengi hudham ebu tutafute kaz za kueleweka fx sio unyama
 
Forex ni game ngumu sana kwa watu baadhi wenye kihoro cha hela just overnight mtu anataka awe millionaire. Binafsi nipo kwenye hii game for nearly 5yrs now ila na nilianza kwa kusoma vitabu na utube videos nyingi lakin naweza kukuambia hvyo vitabu na hizo videos vina uhalisia mdogo sana kwenye real game. Fx inahitaji ufanye research kubwa mno mno! Hasa kwenye price movement na kuna kitu nimegundua kwnye hiz currency pairs hazifanani kabsa when they need to initiate the movement . Matumizi ya robot sijui na mavitu mengne ni hatari sana na usijaribu kabsa utapoteza hela zako. Price movement zinakuwa affected sana na flow of economic data zinazokuwa released na taasisi husika na zingne zinakuwa na long impacts lkn zingne ni short lived. Manipulations ni mchezo mbaya sana unafanyika kweny hii game yaan wanatrap hawa small traders (retailers) kwa kutengeneza fake market patterns ambazo umezisoma kwenye pdfs na utubes . Pia kuna muda wa kutrade aina flan ya currency pairs sio zote utazitrade randomly. yan nina mengi sana ila ushauri wangu ni huu
1. Ukishasoma bla bla za utubes na pdfs wekeza muda mwingi sana kufanya utafiti wa price movement za kila pair kwa kila timeframe utakugundua mengi sana
2. Hakikisha unaweza kuitapret economic informations vzur kwa kujua impact yake na ni kwa muda gani
3. Usiweke graph au chart yako makorokoro mengi allow it to be clear
4.Punguza emotions hasa za kupoteza pale unapona graph inaenda uelekeo tofauti dont quit early, trust ur strategy
5.Fanya utafiti sana mwenyewe utakuja kufurahi siku moja
Conclusion : Forex iko hela ya kutosha tuliza kichwa fanya research.
 
Back
Top Bottom