Rasmi sasa nimejiondoa katika biashara ya foreign exchange (forex)

Rasmi sasa nimejiondoa katika biashara ya foreign exchange (forex)

IAM always talking. May be because this one has resonates/gravitate to your beliefs, thinking, thoughts, opinions, assumptions, subjectivity and perception na ndio Mana umekubali. Ila persist in the game long enough to withdrawal those deposit that you've done.
Question: What could be the driving force behind the incessant dialogue? Choose the correct option.

A) The text deeply resonates with personal beliefs, thoughts, and opinions.
B) The text gravitates towards subjective perceptions and assumptions.
C) The text persists in the game, allowing the withdrawal of previously made deposits.

Please select the most suitable answer from the provided options.
 
Hongera boss ila note kwamba 99% of tredaz are loosers
1. Wanafeli kwa sababu ya ushawishi wa wafundishaji wa fx wanaofanya forex ionekane ni rahasi na pia kuwaamisha watu kwamba fedha zinapatikana kwa urahisi sana kwenye forex kitu ambacho ni uongo mkubwa. Watu wanaingia kwenye huu mtego na kuvamia hii fani bila utafiti wowote huku wakiwa na expectation kubwa sana za kupata fedha za mteremko.
2. Kutokuwa na elimu ya kutosha kuhusu forex na pia kutofanya practice ya kutosha ili kupata uzoefu wa kutrade forex ikiwemo kujenga trading strategy yake mwenye pamoja na displine ya kutrade. Hata kwenye fani nyingine huwezi kutoboa kirahisi rahisi tu. Watu wote ambao ni successful katika career zao wamesota sana mpaka kufikia hapo walipo sasa. HAKUNA BIASHARA/KAZI RAHISI HAPA DUNIANI.

3. Mtaji mdogo pia ni sababu ya watu kupoteza fedha kwani kuwa na mtaji mdogo kunawafanya traders wengi kuwa aggressive (overtrading & poor risk management) na hivyo kutofuata taratibu/rules za kutrade fx na mwisho wake wanaishia kupoteza fedha.

4. Wenye mitaji mikubwa wanaopoteza fedha ni kwa sababu tu ya kuwa GREEDY au kutofuata risk management rules au kutokuwa na elimu au uelewa wa kutosha kuhisu fx, au kutokuwa na strategy nzuri za kutrade fx..

Kwa ujumla FOREX ni nzuri sana na inaweza kukupa fedha za kutosha tu kama utapata elimu sahihi, utapractice sana na kuwa na strategy inayofanya kazi vizuri, utafuata risk management rules na pia ukiwa na mtaji mkubwa ni added advantage ya kukufanya upata profit kubwa ndani ya kipindi kifupi.

NI HAYO TU KWA LEO, NAWASILISHA.
 
1. Wanafeli kwa sababu ya ushawishi wa wafundishaji wa fx wanaofanya forex ionekane ni rahasi na pia kuwaamisha watu kwamba fedha zinapatikana kwa urahisi sana kwenye forex kitu ambacho ni uongo mkubwa. Watu wanaingia kwenye huu mtego na kuvamia hii fani bila utafiti wowote huku wakiwa na expectation kubwa sana za kupata fedha za mteremko.
2. Kutokuwa na elimu ya kutosha kuhusu forex na pia kutofanya practice ya kutosha ili kupata uzoefu wa kutrade forex ikiwemo kujenga trading strategy yake mwenye pamoja na displine ya kutrade. Hata kwenye fani nyingine huwezi kutoboa kirahisi rahisi tu. Watu wote ambao ni successful katika career zao wamesota sana mpaka kufikia hapo walipo sasa. HAKUNA BIASHARA/KAZI RAHISI HAPA DUNIANI.

3. Mtaji mdogo pia ni sababu ya watu kupoteza fedha kwani kuwa na mtaji mdogo kunawafanya traders wengi kuwa aggressive (overtrading & poor risk management) na hivyo kutofuata taratibu/rules za kutrade fx na mwisho wake wanaishia kupoteza fedha.

4. Wenye mitaji mikubwa wanaopoteza fedha ni kwa sababu tu ya kuwa GREEDY au kutofuata risk management rules au kutokuwa na elimu au uelewa wa kutosha kuhisu fx, au kutokuwa na strategy nzuri za kutrade fx..

Kwa ujumla FOREX ni nzuri sana na inaweza kukupa fedha za kutosha tu kama utapata elimu sahihi, utapractice sana na kuwa na strategy inayofanya kazi vizuri, utafuata risk management rules na pia ukiwa na mtaji mkubwa ni added advantage ya kukufanya upata profit kubwa ndani ya kipindi kifupi.

NI HAYO TU KWA LEO, NAWASILISHA.
Just uploaded | EA_0527_Pattern_Recognition_Master_v4_FREE | URL
1685204494079.png

=
1685204534652.png
 
Sio njia sahihiya kujifunza | Na hili nililitambua miaka michache iliyopita, Kiufupi nilianza kama wewe

Hili ni moja ya kosa kubwa ambalo tunalifanya, tunajijaza taarifa nyingi zisizo na tija kwenye Real Live market situation

Uko sahihi, Na hii hapa chini ni screenshot ya trade yangu ya kwanza siku ya leo
View attachment 2586202
Pair | GBPCHF

Angalia

  • Entry price
  • Angalie Exit price
Utagundua mchawi kwenye FX ni entry na exit, Na ukiwa na tools sahihi za kukuwezesha kubaini entry na exit basi hapo tayari umetoboa

Kitu cha muhimu zaid ni trade & money management,unaweza ukawa na uelewa mdogo sana wa forex market lakin ukawa na skills ya kukontrol risk na money management still utapata pesa
 
Kuna gold Rush generation na hii itakuwa digital market rush aka cfd trading rush. Itakuja kuwa history.
Nawaachia kibwagizo

Trading is an endeavor that looks sticky sweet on the outside. However, when you bite into it... it isn't as sugary as you first imagined it. This shock will turn off 90%, from the start.
 
Many have trading knowledge while this is just peanut in the whole endeavor of trading. I can sincere admit that having trading is 5% of what's required to Excell in Trading.
Na ndio Mana wengi wakishatukia like more 5+yrs bado anakula za uso ama bila bila ,hajui Cha kufanya anakimbilia kufundisha na kuandika kitabu. So bado unasoma suckers books and eat their knowledge why na wewe usikimbilie kufundisha.
There's something very far beyond knowledge which is supposed to be acquired to Excell trading and extract money out of the market
 
ngoja niendelee kujifunza kwanza, nashawishika kutaka kuanza hii kitu...mwanzoni ilikuwa napingana nayo sana hii kitu ila kwa sasa kuna sauti ndani yangu inanambia anza kufanya uone Mungu atakujaalia vipi, you never know😃
 
Usitishwe na mtu trading ukipata maarifa sahihi ukuyafanyia kazi moez 6 kila siku masaa manne ya kujifunza 2 ya kutrade 2 yakucorrect makosa 2 miezi 6 tu unakuwa mtu tofauti, hii generation ni ya kipekee mno katika utafutaji kijana hutojutia uamuzi wa kuanza trading, japo ujiandae kwa safari ya kulia na kucheka na ya kutokukata tamaa,
 
Wafanya biashara hii wanakuwa kama wacheza biko wanaamini siku moja wataotea mamilioni,kuna huyu jamaa yangu yeye anasema kuna siku atapata milioni 100.

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Nimepitia convos almost zote,
Na haya ndo maoni yangu kuhusu FX
Ni hiv ForEx ni biashara yenye pesa sana kama utatulia na ili ufanikiwe uchawi upo kwenye
STRUCTURE ijue vizuri “Market Structure” na la pili make sure your financially free at a time usiinge humo huku una vimeo kibao vya madeni hutatoboa
 
Habari ndugu Forex Taders na wale mnaotamani kupata mafunzo ya biashara ya forex.

Tickmill ni miongoni mwa broker bora kabisa na anayeaminika na mwenye akaunti tofauti tofauti pamoja na zile za zero spread.

Tickmill ni broker aliyesajiliwa nchini Uingereza (Uk), Cyprus, seychelles na South Africa.

Kama broker mwenye miaka mingi katika biashara ya forex, tumeamua kutoa huduma zifuatazo;

1. Tutatoa mafunzo bure bila gharama yoyote ile kwa kuanzia na mikoa tajwa.

2. Tutagharamia ukumbi bora kabisa na vitendea kazi vyote muhimu katika mafunzo.

3. Tutatoa t-shirt, Kalamu maalum, writing pads bure kwa watakao hudhuria mafunzo.

4. Tutatoa VIBURUDISHO VYOTE MUHIMU PAMOJA NA MAJI.

5. TUTATOA ZAWADI KWA WANAFUNZI WATATU (3) watakao kidhi vigezo vitakavyowekwa kama ifuatavyo;
A) Mshindi wa kwanza $300
B) Mshindi wa pili $200
C) mshindi wa 100$

Note: vigezo vitaelezwa kwa wahusika kila mkoa.

5. Tutatoa usaidizi kwa karibu kwa wale wenye changamoto za;
A) ku verify ac zao
B) ku deposit na ku withdrawal

6. Wanafunzi wataendelea kupata mafunzo kila wiki kwa njia ya mikutano mtandao kupitia zoom.

Wote mnakaribishwa na tutaendelea kupokea maswali na tutawajibu hapa hapa hapa .

Note: hatupokei pesa yoyote na asitoker mtu wa kukutoza.
 
IJUE FOREX KWA UNDANI
.
.
imeandikw na kijana mwandishi mashuhuri
whatsap no..0710698702
Instagram..dr_b.r.i.l.l.i.a.n.t360
Historia ya forex (soko la kubadilishana fedha za kigeni) inarudi nyuma hadi karne ya 19 wakati ambapo nchi zilianza kutumia mfumo wa thamani ya sarafu zao kuwa na msingi katika thamani ya dhahabu. Hata hivyo, soko la forex kama tunavyolijua leo limeanza kujitokeza katika miaka ya 1970.

Katika mwaka 1971, Marekani iliachana na mfumo wa Bretton Woods uliokuwa unashikilia thamani ya dola ya Marekani kwenye dhahabu. Hii ilisababisha mfumo wa ubadilishaji wa fedha za kigeni kufunguliwa na kuruhusu sarafu kubadilishwa kwa thamani ambayo ilikuwa inategemea nguvu ya soko.

Teknolojia ya kompyuta ilichochea ukuaji wa soko la forex kwani mifumo ya elektroniki iliwezesha mawasiliano ya papo hapo na shughuli za biashara ya fedha duniani kote. Kuanzia miaka ya 1990, internet ilianza kuingia kwa kasi na kuongeza upatikanaji wa soko la forex kwa watu binafsi.

Leo hii, forex ni soko kubwa na lenye likizo linalohusisha biashara ya trilioni za dola kwa siku. Watu binafsi, makampuni, na benki hujiingiza katika biashara ya forex ili kufaidika na tofauti za thamani ya sarafu na kuchuma faida kutokana na mabadiliko ya soko.
Forex ina faida kadhaa. Hapa kuna baadhi ya faida muhimu za kushiriki katika soko la forex:

1. Uwezo wa Kupata Faida: Forex ni soko kubwa na lenye likizo 24/5, ambalo linatoa fursa nyingi za kuweka biashara na kupata faida. Faida inaweza kupatikana kutokana na mabadiliko madogo ya bei katika jozi za fedha.

2. Urahisi wa Kuingia na Kutoka: Soko la forex lina uwazi na urahisi wa kuingia na kutoka. Hii inamaanisha kuwa unaweza kufungua na kufunga biashara kwa urahisi wakati wowote unaofaa kwako, kwani kuna dhamana kubwa ya biashara.

3. Fursa za Biashara za Kuongeza na Kushuka: Katika soko la forex, unaweza kufanya biashara katika mwelekeo wowote, yaani, unaweza kununua au kuuza jozi ya fedha. Hii inamaanisha kuwa unaweza kuchukua faida kutokana na kupanda kwa bei (kununua) au kushuka kwa bei (kuuza).

4. Kuwezesha Uwekezaji wa Kimataifa: Forex hutoa fursa ya kuwekeza katika sarafu za nchi tofauti na kuchukua faida kutokana na tofauti za kiuchumi na kisiasa kati ya nchi hizo.

5. Upatikanaji wa Mkopo wa Juu: Katika soko la forex, wawekezaji wana uwezo wa kupata mkopo wa juu kutoka kwa brokeri. Hii inawezesha biashara kubwa na kuongeza fursa za faida.
Kama vile kuna faida za kushiriki katika soko la forex, kuna pia hatari na hasara ambazo unaweza kukabiliana nazo. Hapa kuna baadhi ya hasara hizo:

1. Hatari ya Kupoteza Fedha: Biashara ya forex ni hatari na kunaweza kuwa na uwezekano wa kupoteza fedha zako. Bei ya jozi za fedha inaweza kubadilika kwa haraka na imetawaliwa na mambo mengi kama habari za kiuchumi, siasa, na matukio ya kimataifa. Hivyo, kuna hatari ya kupoteza fedha yako ikiwa hautafanya uchambuzi sahihi na kutumia mbinu za usimamizi wa hatari.

2. Uvumi na Habari Ghafi: Soko la forex linaweza kuguswa sana na uvumi na habari ghafi. Utafiti mzuri na uchunguzi wa kina unahitaji kufanywa ili kupata habari sahihi, kuepuka kuzingatia uvumi usiothibitishwa ambao unaweza kusababisha maamuzi mabaya ya biashara.

3. Kubadilishwa kwa Vigezo vya Soko: Soko la forex linaweza kubadilika kwa ghafla kutokana na masuala ya kisiasa, kiuchumi, kijamii, na kijiografia. Mabadiliko haya yanaweza kusababisha kuongezeka kwa volatili na kufanya biashara kuwa ngumu na hatari zaidi.

4. Unyanyasaji wa Bei: Soko la forex linaweza kuwa na unyanyasaji wa bei, ambapo bei zinaweza kutofautiana kidogo kati ya watendaji wa soko. Hii inaweza kusababisha biashara kutekelezwa kwa bei isiyo ya haki na inaweza kuathiri matokeo yako ya biashara.

5. Chaguo Kubwa la Kuchagua: Kuna idadi kubwa ya jozi za fedha na chaguzi za biashara katika soko la forex. Hii inaweza kuwa ngumu na inaweza kusababisha msongamano wa habari na uchambuzi wako. Ni muhimu kupata uelewa mzuri wa masoko na kuchagua mkakati unaofaa wakati wa kufanya maamuzi
 
Before and after, am health expert am doing the shit na haijawai hasiri taaluma yangu
Screenshot_20230830-153243.png
Screenshot_20230830-153012.png
 
Screenshot_20230629-153030.png
hakuna kitu sikipend kama kupoteza mda ,
Nimeamua kuwa fundamental completely natrade once per day na natrade news tu, na natrade gold tu
Ni utoto na ujinga kusubir pips mia Siku tatu Wakati unaweza kutrade pips mia KWA dk 3
 
Back
Top Bottom