Emar
JF-Expert Member
- Nov 15, 2018
- 1,789
- 2,965
Hahaha haya sisemi neno,
Ila huwezi nifundisha kama huna materials things na withdraw history sawa🤓🤓🤓 na hili nawatahadhirisha wote ,hakikisha anayekufundisha anajiweza.
💪💪
Ila huwezi nifundisha kama huna materials things na withdraw history sawa🤓🤓🤓 na hili nawatahadhirisha wote ,hakikisha anayekufundisha anajiweza.
💪💪
Bro, kesho tunatoa training free of charge.
Baada ya hapo tutatoa mapendekezo rasmi ili washushe kiwango cha kudopist, very soon hilo linarekebishwa.
Mbali na kiwango cha kudeposit...Tickmill hana mshindani kwa ubora na low spread.
Unafungua trade unaanza na bluu